Amosy09
Member
- May 30, 2018
- 34
- 177
Breaking news: kunataarifa kutoka mkoani Simiyu zinadai Mgodi wa madini wa Gasuma umetitia na ndani kulikuwa na watu wakiendelea na uchimbaji hivyo kama una ndugu yako fanya kujua hali yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app