Wadau Kwanini kila uzi lazima Watu walazimishe fikra za JPM, Mara oh Sasa anapanga kupambana na membe. Mara oh Lissu anakuja. Embu wanaume Wa CHADEMA MTAFUTENI MNAYEJUA KABISA ANAJUA KUJENGA HOJA...
Akiwa mfugaji mzuri kabisa Rais Magufuli enzi akiwa kiongozi wa wizara mojawapo nimeisahau, alisafirisha Ng'ombe zake toka Chato hadi Dodoma. Noa ilikuwa kuziuza pale Tanzania Meat enzi hizo...
Wanafunzi wawili wa Darasa la tano Shule ya Msingi Mikiroy Magugu Mkoani Manyara waliokuwa wanakaa Dawati moja wamefariki dunia katika matukio yanayofanana, wa kwanza alifariki Mwezi Januari mwaka...
Sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (kulia) akifanyiwa uchunguzi wa sikio na Daktari bingwa wa masikio Dkt. Godlove Mfuko
Waziri wa Afya, Maendeleo ya...
Kwa wale mnaotumia barabara hii ya Bagamoyo mtakubaliana nami kwamba hapa njiapanda ya Goba mvua ikinyesha palikuwa tatizo kubwa...ila leo baada ya zile mvua kali za alfajiri kunyesha nimepita...
Mkuu wa wilaya ya Newala mkoani Mtwara Bi Aziza Mangosongo amepata ajali usiku wa kuamkia leo Machi 3, 2019 baada ya gari lake kupinduka maeneo ya Mandawa mkoani Lindi akitokea Newala.
Mkuu wa...
Hello JF,
katika Watu walioacha 'Mark' dunia hii...
ni watu waliojitolea kwenye Maisha yao kusaidia wengine katika jamii..
Katika matajiri,proffessionals ama watu wa kawaida..hakuna jina...
Picha hii inaonyesha furaha kubwa aliyonayo mh. Raisi, John Mombe Magufuli. Ila kwa jicho la ndani furaha yake sio kwa sababu ya hawa alionao, bali kile anachofikiri amefanikisha.
Wenye furaha ya...
UJUMBE WA MHE.FREEMAN MBOWE KWA WANA-CHADEMA KUFUATIA MHE. EDWARD LOWASSA KURUDI CCM*
Julai 2015, tulimpokea Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa katika chama chetu, na baadae kupitishwa na vikao vya...
Huyu jamaa ana thick voice na inavutia kufuatilia makala za utalii humu kwenye channel yetu pendwa kwa sababu ana narrate vizuri sana mzee wa misamiati kv kinamasi.
Sent using Jamii Forums...
Poleni na Majukumu.
Sina nia ya kuendeleza mjadala unaohusisha tuhuma za Mke wa Balozi Mahiga kumtukana askari na baadaye Rais Magufuli kutoa agizo huyo askari apandishwe cheo, lakini natoa...
Habari za leo ndugu zangu,hongereni Kwa majukumu.
Kuna Jambo huwa linanitatiza tangu nikiwa mtoto mpaka umri huu wa kuitwa mtu mzima hivyo ningependa kuwashirikisha.
Hivi roho mbaya ni kitu gani...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amesema wanawashikilia waganga wa kienyeni 45 katika Mkoa wa Simiyu na wengine 20 wa Mkoa wa Njombe ambao wamewatilia shaka katika operesheni...
Mama pinga, Kazaa watoto 7 wote wanaitwa Pinga. Kumbe Sasa anatambulika kama Mama pinga pinga. Akijamba na kutoa harufu atapinga. Hata kama kibaologia tunajua mtu lazima aende haja Kubwa ( ugumu...
Umetunga kitabu chako kwa miaka miwili, ulipomaliza ukaniletea mimi ili nikusaidie kukisoma kabla hujakichapisha. Nikakipokea na wewe ukaondoka zako kwenda nyumbani kusubiri siku nitakapomaliza...
Kuna kitu ambacho wapinzani tunapaswa kutafakari kabla ya kumlaumu Edward Lowassa. Kwasababu hatukuruhusu kutafakari ujio wake kwa kuangali athari hasi kwa chama bali ziliangalia zaidi faida za...
Ndugu zangu, wanaharakati wenzangu napenda kuzungumzia suala hili kwa uchungu mkubwa sana hii ni kutokana wiki chache nyuma ulifanyika msako mkali kwa kushirikiana na polisi pamoja wana-mtaa wa...
Nawataadharisha wakazi wa Dar es salaam kuna mvua Kubwa Sana inanyesha hivyo chukueni taadhari hasa wakazi wa mabondeni na kama upo nje ya Dar wasiliana na Familia yako mapema kujua Hali zao...