Majungu na Sio sera tena

unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
2,577
2,000
Wadau Kwanini kila uzi lazima Watu walazimishe fikra za JPM, Mara oh Sasa anapanga kupambana na membe. Mara oh Lissu anakuja. Embu wanaume Wa CHADEMA MTAFUTENI MNAYEJUA KABISA ANAJUA KUJENGA HOJA. anisaidie mimi nisiye na chama lakini napenda uthubutu wa JPM ambaye amefanya Mpaka Sasa Watu hawana sera tena wanazunguka na Jina la JPM na kuforce Woga wao uonekane kWa Watu wengine; Narudia anisaidie hoja ya LIssu kuwa ni candidate wao imetokana na nini Hasa, Mana kama Umbeya watz 85% ndo sifa yetu Sasa tukimpata raisi MMbeya itakuwa hii nchi Au ukumbi wa taarabu. Je unadhani tatizo letu Wtz ni ulissu Au uvivu na kutokosa Malengo binafsi. Huku ulaya unalipwa meistens kwa masaa ya kazi. Sisi tunapiga „breakfast“ toka Morning to evening lakini hapa kelele bila Kutacle such issues. Unapoalikwa na mabepari mpinzani kuzungumzia na kuponda Nchi yako ujue hao wabepari Sio wajinga. Kuna KIDONDA CHAO KIMETIWA CHUMVI maumivu wameyaskia mpaka moyoni, wanakutumia ili Siku usaidie kulipa fadhila , lakini majitu hapa yameziba mashimo yote ya kuskia na kureason wameacha moja La kutumwagia kinyesi—Quid pro quo! Mnisaidie jamani. Mana Naona tu majibu yenu yako kinyume nyume mkienzi kazi shimo pendwa kutoa hewa chafu badala ya hoja. Ndugu yangu unayedhani ukikosa msaada anaumia JPM kama person ni kupoteza muda. Ataumia kama kiongozi makini yeyote. Ila mateso yatakuja kwako wewe mpika domo na Vizazi vyetu. Chunga ULIMI wako, Hakuna cha bure.
 
Nyox official

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
601
500

Tukurudishe primary,somo la mwandiko kwako lilikupita kushoto
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom