Doctor Mama Amon
Platinum Member
- Mar 30, 2018
- 2,311
- 3,513
ok
umeambiwa toka novemba 2017 hadi sasa !!!Noeli ni Xmas juzi tumesherekea pasaka, je hii habari ni ya lini?
Tena toka za mchonga meno, Mwl Nyerere nasikia alikuwa nampenda sana huyu mgogo..Na mbona ni hela ndogo sana kwa Mgogo?!Mume wake huyo pembeni anaitwa Julius Mshama ni mgogo wa Kijiji cha Mtanana Kongwa anafanya kazi Ikulu ndipo alipoenda kujificha, si unaona huyo mume wake ni Mogogo na thumuni usoni?
Huyo ni bomu kibajaji anasubirHuyo sikibajaji? Au siye
TunafukuaNimefurahi sana kukutana na huu uzi wa Bahari Beach Secondary School. Shule inamilikiwa na huyu mama Asumta. Ninatoa ushuhuda hapa wa hii shule na Vyombo vya Elimu vya Manispaa, Mkoa na Taifa mfuatilie. Ndugu yangu alinyanyaswa na hii shule kwa kiasi kikubwa mno baada ya kugundua uovu wake akaanza kuhoji. Mmiliki ni mbabe na amemuweka ndugu yake asimamie kwa hiyo ni shida tupu. Ukweli wazani wanaosomesha watoto wao pale wajifikirie mara mbili.
1. Awali ya yote shule ya Bahari Beach Secondary School huyu mama alishindwa kuiendesha kipindi fulani na ikawa imefungwa mpaka alipoifufua tena.
2. Mama Asumta anatumia ulokole ili kutapeli wazazi na wanafunzi pia na sasa waalimu wake. Amejenga kanisa pale shuleni ili kurubuni na mbaya zaidi anatumia pia kanisa la Mchungaji Katunzi lililoko Mtoni Mtongani kutangaza kuwa ana shule nzuri na kumbe ni tatizo kubwa
3. Shule yake haina mazingira mazuri ya kusomea ni kama mabanda ya kuku tu na wanafunzi wamesongana tu japo pia ni wachache.
4. Pale kuna bweni ambalo ni tatizo kubwa mno kwa jinsi ambavyo wanafunzi wamejazwa ndani bila ventilation ya kutosha kabisa yaani hakuna hata stoo ya kuhifadhia trunkers za wanafunzi. Ni kama mbuzi au ngombe kuwalaza zizini.
5. Shule ilikuwa na tatizo la maji kiasi kwamba wanafunzi wanatoka nje ya shule kuhemea maji, sina status ya karibuni kuhusu tatizo hili.
6. Mama Asumta ni tapeli kwa kuwa baadhi wa wazazi walipogundua utapeli na kutaka kuondoa watoto wao basi kazi kubwa inakuwa kurejesheana pesa ni kwa mbinde.
7. Mama Asumta amekuwa ni mtu wa kutishia sana kwa kutumia wadhifa wake wa ukuu wa wilaya kuonesha kuwa yeye hana wa kumbabaisha.
Kinachonishangaza ni kwamba sielewe kama kweli Afisa Elimu ya Sekondari na Mkaguzi wa Manispaa, Mkoa hadi Wizarani wanatembelea hizi shule na kuzipa kibali cha kutoa elimu kwa mazingira ya shule ya Bahari Beach High School.
Ninaomba sana mama Ndalichako wewe ni mtu wa Viwango hebu mulika hizi shule ana anza na hii shule ya huyu mama tapeli ambaye anapoteza sifa ya Wahaya na utanzania kabisa.