Gari la TANESCO lenye namba za usajili 'SU 35782' laacha njia na kugonga nyumba

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,402
Watu wa familia moja katika Kijiji cha Lokiri, Kata ya Kashasha, Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro wamenusurika kufa baada ya gari la TANESCO kugonga nyumba yao leo Septemba 15

Taarifa za awali zinadai gari hilo lilipata hitilafu katika mfumo wake wa breki
IMG_20180915_194939.jpeg
 
Pole ya wana familia na waliokuwemo kwenye gari

Ila huwa tuna haraka sana kwenye conclusion
 
Watu wa familia moja katika Kijiji cha Lokiri, Kata ya Kashasha, Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro wamenusurika kufa baada ya gari la TANESCO kugonga nyumba yao leo Septemba 15

Taarifa za awali zinadai gari hilo lilipata hitilafu katika mfumo wake wa brekiView attachment 867379

Haya ya SU ni dugu moja na yale ya STJ, STK, STL, PT, UT, MT, nk yakiwamo pia yale yenye vibendera kwa utaratibu tata (wa kamanda Muslim) yote haya yana enjoy special treatment barabarani.

Sheria za barabarani be it tochi hazi apply kwao. Wanatembea kama wanavyojisikia wao kama wao wakituweka wengine siye kina yakhe hatarini mno na kadri wanavyojisikia wao.

Wangekuwa ni kina sisi, mmiliki alipaswa kuwa korokoroni tayari akisubiria kujibu tuhuma zake za kushindwa kutengeneza gari lake hadi kusababisha ajali.

Ama kweli haya ni kwetu tu, katu hayawezi kutokea katika jamii yoyote iliyostaarabika.

Ni kweli tutapata taabu sana.
 
Back
Top Bottom