IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Leo asubuhi kulikuwa na radi Kali ikiambatana na manyunyu ya mvua .
Mwanafunzi1 wa mikindani sekondari iliyopo Mt mjini eneo la mikindani amefariki,pia wanafunzi wengine zaidi wamezimia.
Nitatoe updates nawasiliana na mdau muhimu kule.
Sent using Jamii Forums mobile app