Arusha ni aibu kwa taifa kwa kukosa Kituo cha mabasi cha kisasa

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
7,300
2,000
Kuna plan kubwa ya kujenga kituo kikubwa cha mabasi nje ya mji maeneo ya USA river so tulia hapo hapo usiondoke.
 
The great jay

JF-Expert Member
Aug 8, 2017
631
1,000
Hizi mbishe za kuishindanisha kilimanjaro na arusha zinanikeraga kwa sababu kote ni sawa na jamii moja na ukienda nje ya arusha na moshi wana tuterm pamoja kama watu wakaskazini pamoja na manyara afu arusha n mji unaokuwa kwa kasi changamoto kama izo lazima ziwepo ndio stendi ndogo ipo ila mahitaji yameshaizidi ungekuyta haipo tungesena ila ipo ilijengwa ila mji unatanuka mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roy kimei

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
486
500

Hakuna haja ya kumshindanisha mtu na ndugu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe la Ma

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
580
500
Hivi kweli uongozi wa jiji la Arusha umeshindwa kujenga stendi ya kisasa ya daladala??? Ni aibu mji huu wa kimataifa kuwa na stendi ya mavumbi katikati ya jiji.
Arusha kuna mashirika ya kimataifa ya EAC, AU, ESAMI na UN pamoja na sekta pana ya utalii.
Nchi inadhalilika sana sababu ya miundombinu mibovu kama hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa na wanasiasa ndio tatizo...,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom