BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,204
- 14,393
Katika harakati zangu nimekutana nayo sehemu. Ila ikabidi nifikiri mwandishi alifikiri nini..? ila nilichogundua mwandishi akufikiri sana Bali alifanya observation in real life jinsi girls na boys wanavyobehave so akaja na conclusion GIRLS WILL BE GIRLS BOYS WILL BE FIRST. So sidhani kama kuna chembechembe za gender discrimination Bali ni fact yenye ukweli 99.9%... Take your time na wewe Fanya observation to know the truth.