YES,NA HUO NDIO MJI WETU SISI MASHUJAA WAONGOZA NJIA.

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,458
2,000
Tunashukuru sana watu wote mliofika kutufariji sisi ndugu zenu watanzania wenzenu katika msiba huu mkubwa wa shujaa mwongoza njia,Mungu amuweke mahali anapostahili kuwa.amen.
Wengine inawezekana ni mara yenu ya kwanza kukanyaga bukoba,huku ndiko mji ule tunaousifia sana tukiwa mikoani kwenu japo mm si indgneous wa huku but beyond of my ability imenibid niwe wa huku.Sitaki kukupa details nyingi za maendeleo ya mji wetu maana umefika unajionea mwenyewe,pima maneno ya watu watokao huku wayasemayo juu ya mji huu na maendeleo uyaonayo kwa macho yako zikiwemo miundombinu,way of life etc,then uweze kuprove right or wrong juu ya maneno yao.

Mkoa wa Kagera hauendani na wao wanavyoudhania - JamiiForumsWAKOLA WEITUU.

Mexican boy
 

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
7,333
2,000
Bukoba airport
images%20(1).jpeg
images%20(4).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,458
2,000
mh! huu uzi nilijua tu wahaya mtaingia kichwa kichwa,ngoja nisbiri mrejesho wa watu waliofika huku,ikiwa wataridhika juu ya maendeleo ya mji huu ukilinganisha misifa yenu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom