Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,459
Hii wiki ni wiki ya Maombolezo ya msiba wa Ndugu, Mtanzania mwenzetu Ruge.
Ndani ya msiba huu, kuna Wimbi kubwa la Wanafiki ambao na elimu zao na nyadhifa zao wanaendeleza Kuibua Wanafiki wengine mtaani
ni kwel Ruge alisaidia vijana? Jibu ni ndio/hapana kulingana na aliyeulizwa ni mtu wa aina gani automatically ukimuuliza mfanyakazi wa clouds atajibu ndio ili kulinda kibarua chake.
Turud kwenye Point
Kiongozi anasimama mbele ya Umati, na kuwaomba vijana WATAFUTE FURSA wajiajiri wasitegemee Kuajiriwa hii kauli ni ya Kinafiki..
Kwanini yeye (kiongozi asiache kazi yake aende kujiajiri? Kwanin aliamua kugombea uongozi kwani hakuona FURSA?)
FURSA ni rahisi kusema zipo ila ukwel unajulikana huwezi kukamata Fursa ikiwa MIKONO ya kukamata Fursa hauna...
Hakuna anayependa kuishi Maisha ya Tabu, ila kikwazi ni NITAANZIA WAPI?? napinga hali ya kusema Vijana msitegemee kuajiriwa ikiwa unaeongea hivyo UPO KAZINI umeajiriwa.
Tuache UNAFKI
mmeshindwa kutengeneza MAZINGIRA ya Kupatia Raia ajira, mmepata kisingizio cha Raia Kujiajiri?
Mmeweka Kodi na vitambulisho kibao ili anayejiajiri Awe ajira kwenu?
Sent using Jamii Forums mobile app