mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Gari yangu carina ti imeanza tabia ya kutopiga starter vema...inabehave km mafuta yameisha while mafuta yapo,ila nikiwasha while nimekanyaga accelerator inawaka...mafund wameichek bila msaada,naomba maoni yenu mbalimbali