kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,351
- 17,585
Namna wafanyakazi wa clouds media walivyoomboleza na kumzunguzia bos wao Ruge inaonekana kuwa bos Ruge ndiye aliyekuwa kila kitu clouds media. Sasa bos Ruge hayupo, jamii itarajie nini kutoka Clouds ya bila bos Ruge?
Mwendo mdundo? Migogoro? Kugawana mbao? Kunyauka na kukonda? au?
Mwendo mdundo? Migogoro? Kugawana mbao? Kunyauka na kukonda? au?