Poluyakhtov
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 353
- 296
Habari za muda huu wanajukwaa,Mimi nikiwa kijana wa kiume Mtanzania ambaye nimejitoa kwa moyo mmoja kufanya kazi ya kukesha usiku kuwalinda wenye nazo ili nipate walau pesa ya kujisomesha mwaka huu,Nimefadhaika baada ya kuletewa ripoti na Cash vendors wa kampuni hii ya ulinzi kuwa mshahara wangu umezuiwa mpaka muda usiojulikana kutokana na kushindwa kuhudhuria kazini kuanzia tarehe 1 mpaka 4 ya mwezi huu(sijahudhuria siku mbili kwani huwa tunafanya kazi saa 24).
Nimewauliza kuhusu uwezekano wa kwenda ofisini kufuatilia,ajabu nimeambiwa kuwa nisijisumbue kwani sitasaidiwa,Kampuni itatoa siku ikiamua.
Sasa wanajukwa naomba ushauri wenu juu ya hili,ni sehemu gani ya kisheria naweza kwenda kufikisha malalamiko yangu?.
Najua nikipata sehemu ya kuelezea haya masuala,pia hata mambo ya NSSF naweza kusaidiwa.Hii ni kwa sababu tangu nianze kazi ID yangu ni Uniform tu,mkataba hata nakala yake sikupewa.
Mbaya zaidi hapa kodi ya chumba inahitajika kesho.Naombeni ushauri wenu wakuu.
Thanks in advance.
Sent using Jamii Forums mobile app