Ujenzi wa Jengo la Chama cha wanasheria(TLS) umefikia wapi?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Tundu lissu mara baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa TLS aliahidi kusimamia ujenzi wa jengo la chama hiki cha wanasheria ...Ujenzi wa jengo hilo ungegharimu kiasi cha shilingi bilioni 3 na mkandarasi alikabidhiwa ramani na uongozi wa TLS wakati huo.

Baada ya misukosuko iliyomkumba lissu hatimaye uongozi mpya ulichaguliwa na sasa alipewa mwanamama maaurufu huko twitter akijiita shangazi wa Taifa kuendelea na uongozi wa TLS .

Swali langu linahusu kutaka kujua updates za ujenzi huu wa jengo la Makao makuu ya TLS
 
Viwanda ndio vinatoa ajira, si vibaya ungetuambia hivyo.
 
Hii ni by June mwaka 2018 sahizi litakuwa limekaribia kukamilika
tapatalk_1551871220182.jpeg
tapatalk_1551871230791.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom