ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,280
- 4,236
Kiukweli hiki kituo cha radio kimeanza kubadilika kwa kasi sana kuelekea kuleee kwenye kuunga mkono juhudi za mh maana sasa vipindi vyote ni vyenye positive thought dhidi ya serikali na chama chake content zote ni zenye positive thought tu dhidi ya serikali na Ccm.
Ikitokea muandishi akawa na mawazo yenye mrengo tofauti na Serikali ama chama chake basi anahamishwa kipindi ama kuhamishwa kitengo kabisa espc kumtoa kwenye utangazaji na kumpeleka kwenye vitengo vingine uko ambavyo hatosikika.
Mfano ni hiki kipindi chao cha asubuhi ambacho kinaitwa morning na Magic kipindi hiki kilijizolea umaarufu mkubwa sana kwa watu na rika tofauti kipindi hiki kilikuwa kinamaudhi yaliyokuwa yanabalance pande zote mbili.
Upande wa Serikali na upande wa wananchi ikiwa na maana ya kuisifia kuikosoa kuionya kuielekeza na kuiuliza Serikali lakini na pia kilikuwa kikifanya ivyo ivyo kwa upande wa wananchi, lakini ghafla kipindi siku hizi kimekuwa cha upande mmoja tu wa Serikali na chama chake yaani ni kuisifia tu Serikali na chama chake na pia ni kuuponda kuukandamiza tu upinzani.
Anyway sijui nini kimetokea lakini naona Magic fm muda si mrefu inakamilisha safari na mchakato wote wa kuwa chombo kamili cha propaganda cha Serikali na chama chake.
A..........
Sent using Jamii Forums mobile app