Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tumekuwa na story za siasa, burdani kwa takribani wiki sasa. Kuhama kwa Lowassa toka CHADEMA kurudi CCM na kifo cha kijana wetu Ruge Mtahaba, Mungu ampe pumziko la amani huko aliko. Jana nimepita...
6 Reactions
43 Replies
8K Views
Rais Magufuli ametaka askari wa Jeshi la Polisi kutoshtakiwa kutokana na makosa yanayojitokeza wakati wakitekeleza majukumu yao ikiwamo kutuhumiwa kuua wahalifu. Source: East Africa Television...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kupitia ukurasa wake wa Twitter ameeleza yafuatayo kufuatia kifo cha Mwanafunzi kinachodaiwa kutokana na kipigo kutoka kwa Mwalimu NUKUU: Nimepokea kwa masikitiko...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimepita hapo Kuna mtu anapigwa hapo vibaya sana, naomba muende kabla hawajamuua maana inawezekana hata hajaiba, msiseme sikuwaambia. Ni hapo karibu na mji mwema.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Rasmi nimeamua kuunga mkono ile kauli mbiu ya rudi nyumbani, kumenoga. Rasmi nahamia TTCL. Mnachotufanyia Vodacom na mitandao mingine ya mawasiliano hapa nchini sio kabisa. Kwa muda mrefu...
15 Reactions
60 Replies
8K Views
hello JF, I am not good in writing nadhani mshaninote..lo Nimeamua Becky nijiunge shule ya Memkwa jioni,nijipige msasa… :p:cool: Course ni Community Development... Hii course haina...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Tafrani imeibuka katika kijiji cha Ngeze wilayani hapa baada ya watu wanaodaiwa kuwa na hasira kumuua Mzee Dimon Senyagwa (85) kwa kumshambulia kwa mawe na silaha nyingine za jadi wakimtuhumu...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Haya maji ya kandoro kuna kipindi yalipotea kabisa maeneo ya kariakoo lakini kwa sasa yamerudi kwa kasi Na kwa kuwa wauzaji wapo wengi ina maana na soko lake pia ni kubwa Na sasa hivi kidogo...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
Ni jambo la kawaida tuliokulia maeneo ya Tanzania kuelezwa kwamba mchawi ana uwezo wa kutoonekana. Kweli! katika hali isiyo kuwa ya kawaida, kijana wangu wa miaka 16 alijikuta akipiga kelele...
6 Reactions
158 Replies
38K Views
*KWA HILI MABALOZI WAJITAFAKARI*. Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mabalozi wanaoziwakilisha nchi za *Uingireza, Denmark, Ujerumani, Uholanzi, Italy, Sweden, Ubelgiji na Norway* nchini *Tanzania*...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Tumeanza safari yetu ndefu na muhimu sana ya mfungo wa siku arobaini (mfungo wa Kwaresma), tunayoianza siku ya Jumatano ya majivu (leo). Katika kipindi hiki cha siku 40, mama Kanisa anatualika...
20 Reactions
66 Replies
10K Views
Kampuni ya Gee General Ltd inayojihusisha na ununuzi na uuzaji wa kahawa ni miongoni mwa Kampuni sita zinazochunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa nchini(Takukuru) ikihusishwa na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimekuwepo siku mbili, nimepamaliza pote kupafahamu kwa kutumia baiskeli tu! Ila barabara kutokea tunduma ya ukweli balaa(international) ======= In late 2000's nilipata kuishi Sumbawanga...
6 Reactions
80 Replies
18K Views
Habari ndugu mpambanaji? Pole sana na majukumu ya kila leo ya kutimiza ndoto zako. Hakika mungu yu pamoja nawe, matunda ya juhudi zako yataonekana, we endelea kusonga mbele. Katika makala yangu...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Jitahidini muandike kingereza safi sio kama hiki.
2 Reactions
75 Replies
9K Views
Wanaobadilisha pesa za kigeni nchi hii hawalipi "commission" kama zilivyo nchi nyingi duniani. Nashauri TRA na BoT wawabane wenye Bureau De Change "maduka ya kubadilishia pesa za kigeni "forex"...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Haya maji ya kandoro kuna kipindi yalipotea kabisa maeneo ya kariakoo lakini kwa sasa yamerudi kwa kasi Na kwa kuwa wauzaji wapo wengi ina maana na soko lake pia ni kubwa Na sasa hivi kidogo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sifa kede wa kede zimeibuka za kumsifu huyu bwana baada ya kifo chake, je nikwel sifa hizi anastahiri? Mi naamini na kukubali kuwa ni kwel anastahiri maana waswahili wanasema "kibaya chajitembeza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Hatimaye mradi wa ujenzi wa nyumba ya Mwalimu uliosimama tangu Mwaka jana 2018 umeanza tena kujengwa. Ujenzi huo wa nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ngongo iliyopo...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…