Nilitegemea kumuona Mwakyembe badala ya engineer Mfugale

Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,577
2,000
Utawala huu, mambo yote ya ujenzi ni Tanroads, si Unajua wenyewe wana hisa tangu enzi hizo!
Nimeona clip from ikulu ikimuonesha engineer Mfugale mkurugenzi mkuu wa Tanroad akitoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma.

Nilitegemea kumuona mh mwakyembe au naibu wakitoa ufafanuzi lakini cijawaona au Tanroad wanajenga viwanja?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
8,296
2,000
Nimeona clip from ikulu ikimuonesha engineer Mfugale mkurugenzi mkuu wa Tanroad akitoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma.

Nilitegemea kumuona mh mwakyembe au naibu wakitoa ufafanuzi lakini cijawaona au Tanroad wanajenga viwanja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwakyembe ni mwanasheria, muulize kwa kuanzia tu, zege ya uwanja wa michezo linachanganywa vipi.
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
9,878
2,000
Nimeona clip from ikulu ikimuonesha engineer Mfugale mkurugenzi mkuu wa Tanroad akitoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma.

Nilitegemea kumuona mh mwakyembe au naibu wakitoa ufafanuzi lakini cijawaona au Tanroad wanajenga viwanja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani akitoa ufafanuzi Mfugale kuna tatizo gani,kipi muhimu kumuona Mwakyembe au kutoa ufafanuzi
 
BAF

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
418
1,000
Sio Dhambi kwa Engineer kuelezee Jambo Kama lile la Uwanja,Tena kwa taarifa pale angekuwepo pia na waziri wa Mali asili na Utalii ili aeleze vizuri kivutio cha Mlima Kilimanjaro kwenye uwanja wa Mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnyikungu

JF-Expert Member
Jul 26, 2009
1,938
2,000
Ujenzi wote wa viwanja vya michezo, viwanja vya ndege na barabara kuu vipo vhini ya Tanroad....kwahiyo Mfugale yuko pale kueleza kwasababu vipo chini yake, ujenzi ukikamilika basi wizara ya utamaduni na michezo ndo itakuwa inajidai
 
hery_edson

Senior Member
Sep 24, 2014
124
225
Kwani Wema na Mwakyembe wanatofauti gani?
Wote ni watanzania wenye akili timamu. Kati ya hao Wema Wema anaweza kua waziri mkuu mzuri kuliko Mwakyembe. Kwanza Wema ni celebrity kisha anapendwa na wengi
So kua celebrity na kupendwa na weng ndio criteria ya u wazir mkuu...... Tanzania sijui tunakwama wapi asee......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jani

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
854
1,000
ameongelea ujenzi wa uwanja in relatioship to miundo mbinu mingine kam ring roads za kuelekea uwanjani
 
Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
1,655
2,000
Nimeona clip from ikulu ikimuonesha engineer Mfugale mkurugenzi mkuu wa Tanroad akitoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma.

Nilitegemea kumuona mh mwakyembe au naibu wakitoa ufafanuzi lakini cijawaona au Tanroad wanajenga viwanja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mabadiliko ya sera. Kwa hivi sasa suala lolote la ujenzi wa miindombinu na majengo ama liko tanroads au tba. Hapo tanroads wakimaliza kujenga wanamkabidhi Mwakyembe aendeshe. Hata viwanja vya ndege, wajenzi ni tanroads.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom