BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,818
- 3,433
Kuanika hadharani madhaifu ya Bosi wako, kisha utegemee akulipe stahiki zako
Inahitaji Roho ya kiongozi aliyejikana na Mnyenyekevu na mwenye kutii sheria.
Unapokata Tawi ulilokalia ni sawasawa na kukalia kuti kavu, tegemea usichokitarajia.Ungekuwa Wewe ungemlipa mtu anayeanika udhalimu wako kwenye kadamnasi au ungefanya alichofanya JIWE? Toa tathmini yako hapa
Sent using Jamii Forums mobile app