UDSM mnaharibu future za wadogo zetu.

Wazolee

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
1,432
2,000
Check haya matokeo ya course works za hawa vijana wa mwaka wa kwanza pale udbs uone jinsi hiki chuo kikongwe kinavyotumika kuharibu future za wadogo zetu.hizi ni course works za accounting na finance tu.
Elimu ya hii nchi tunaizika taratibu ukichunguza hao wanao soma hiyo accounts utakuta wengi wao ni walisoma masomo ya science high level

Sent using Jamii Forums mobile app
 
master09

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
778
500
Check haya matokeo ya course works za hawa vijana wa mwaka wa kwanza pale udbs uone jinsi hiki chuo kikongwe kinavyotumika kuharibu future za wadogo zetu.hizi ni course works za accounting na finance tu.
Sijaelewa kunashida gani ......

40marks plus 60 UE =100

Course work :-
~10 Quiz
~20 Test
~10 Assignment

Sasa hujaelewa nini ????

Hata mimi nimesoma hapo UDSM na ndo hivyo sasa wewe swali lako lipi?

Au walivyojaziwa INCOMPLETE ????

Ndo mjue huko siyo secondary ukipewa Quiz fanya ukipewa test fanya pia au assignment fanya....

Kama hujafanya Assigment unataka uwekewe 0 hivi wewe hujui 0 pia ni namba huwezi kuwekea kwakuwa huja ifanyia kazi kupata hiyo 0 so matokeo yako ni incomplete. ...

Ukiwa UDSM fuata kilicho kupeleka siyo unakomaaa na UE ukadharau Course work ni bora upate 0 kuliko incomplete ....

NB.
0 its a number you have to earn it ..... soma wacha ujingaSent using Jamii Forums mobile app
 
kyanyangwe

Member
Oct 31, 2018
77
150

mkuu,huoni kama kuna tatizo hapo,inawezekanaje watu hao wakawa na incomplete?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom