Mwenye kujua kiwanda kinachotengeneza pombe zinazoitwa boss kilipo msaada

ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
3,280
4,236
Wana jukwaa habari ya asubuhi, kama kichwa kinavyojieleza.

Naomba kwa mwana Jf yeyote ambaye anajua hiki kiwanda kilipo naomba msaada wa kuelekezwa. Hiki ni kiwanda kinachotengeneza pombe zenye majina kama Boss, Ambiance na nyingine nyingi tu.

Naomba msaada wa kuelekezwa kilipo kwa maana ya kwamba, mimi nahitaji kufanya biashara ya hizi pombe. lakini changamoto ni kwamba, sehemu ya kuupata huu mzigo ndo imekuwa tatizo.

Maana nikichukua kwa salers wa kawaida kama mimi, itakula kwangu kwa maana ya faida itakuwa kidogo mno ama hamna kabisa. Ivyo nilionelea ni nyema, kama nitaweza kuchukua mzigo moja kwa moja kutoka kiwandani.
kwa maana ya kiwandani bei kidogo inakuwa chini na angalau inaruhusu kwa sisi wajasiriamali wadogo wadogo kupata kipato

Kwa mwenye msaada tafadhali naomba kuelekezwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiko vingunguti dsm mkuu ukifika pale ulizia kwenye mabar utaelekezwa kwani wao ni wadau wao
 
Thanx broo lakini vip huwezi kunisaidia jina lake angalau nikifika pale iwe rahidi kukiulizia kwa jina kuliko hii ya kwenda bila kujua ata jina la kiwanda maana mpaka apa umenisaidia tayari nishafahamukilipo ilq bado jina pls kama unaweza naomba unisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom