msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Heshima kwenu wakuu,naomba kufahamishwa kidogo, passport yangu ni zile za zamani muda wake unakwisha 2021,ila jina langu nilikosea kidogo kwenye sirname,taratibu za kubadili jina ziko vipi pia nipate hizi mpya za sasa na gharama pia ziko vipi mwenye uelewa anijuze wana jamvi.