Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kongole!! Kivuko cha watembea miguu(flaiova) kinafanya kazi... Seng'enge imeshawekwa,kwa hiyo hakuna mtu wa kukatiza. Alama za pundamilia hazipo... Kamera ya Police pale darajani ya nini ...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
JE, yawezekana Rais Jakaya Kikwete ndiye anakihofia Chama cha Jamii (CCJ) ambacho kina usajili wa muda tu, na kutokana na maagizo yake kitanyimwa usajili wa kudumu ili kisiweze kushiriki...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Inasemekana dodoma ndio katikati ya nchi. Kwahyo pale ndo sehemu pekee ambayo mtanzania yeyote anayeitwa kwenye usahili awezi kulalamikia nauli maana nisehemu pekee ambapo kila mtanzania akiamua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Miaka hiyo ukitoka mwanza,shinyanga tabora kuja dar ilikuwa ni safari ambayo unatubu dhambi zako kabisa na njia nzima unaimba mapambio na kutafakari ukuu wa Mungu mpaka ukifika Dar. Ilikuwa ni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa nini tasnia ya Habari sasa hivi imekuwa ya hovyo na yakudharauliwa? Kwa nini sasa hivi kila kukicha waandishi wa Habari ni kukamatwa na polisi na kuwekwa ndani wakiwa kazini? Jibu ni moja...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Sio kwamba naunga mkono vijana Kubet na wala sina maana ya kupinga isipokuwa nimeshangazwa na TBC kusimamia kidedea kupinga vijana kubet kwa madai ya kuwa hizo ni ndoto za alianacha...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana jf saalam! Ningekuwa nikifuatilia utendaji wa mamlaka hii,sioni tija yake kwa taifa,ni heri ikafutwa ili kuokoa pesa za uma wa watanzani. Taarifa za hali ya hewa inazotoa haziendi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naongea haya kwasababu Azam now wamebweteka sana, local chanels hamna, taarifa ya habari hamna, kinachowalinda kwa sasa ni tamthilia ya SULTAN, na ligi kuu Tanzania bara tu Siku dili la kuonyesha...
7 Reactions
87 Replies
15K Views
JAMII ISIYOBADIRIKA KIFIKRA Habari za mchana wapendwa …. Miaka ya 1980, nilikuwa chini ya miaka 10, nilizoea kuona vitu mbalimbali kama vile vipini, sindano za kushonea nguo, nyembe n.k zikiwa...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Mosquitoes suck whole blood together with all its contained viruses, bacteria and other pathogens, including HIV. Luckily for humans, the HIV virus cannot be spread by mosquitoes. This is because...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Huu ni utapeli ambao upo wazi kabisa...kila mara Tigo wamekuwa wakituma meseji zao kwangu za kunipa hongera kwa namba yangu kuchaguliwa kushiriki draw flani Cha ajabu ni kuwa kila siku wananambia...
9 Reactions
47 Replies
8K Views
Mkuu wa mkoa wa Njombe, Christopher Ole sendeka ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata watumishi 12 akiwemo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe, Iluminata Mwenda kwa ubadhilifu...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Pitapita yangu nimekutana na wakazi na vijana wa Temeke ambao wakutana na msako wa vijana wa Jeshi la Polisi ktk msako mkali sana wa kuhusu huyo jamaa ambaye inasemekana amefanya mauaji ya baadhi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa mashtaka nchini Biswalo Mganga amewafutia shitaka la mauaji watuhumiwa Musa Sadiki na Edward Matiku baada ya agizo la Rais Maguful ____ Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania(DPP), Biswalo...
15 Reactions
73 Replies
18K Views
Ile sikendo ya kutapeli nyumba ya mjane mama Ana kahangi imezihirika baada kuitwa kwa mkuu wa mkoa.Maro alipotakiwa kutoa hati ya mjane mama Ana Kihinga alidai hawezi kutoa bila mteja wake Bajuta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi, kuna namba hizi 0742 223 697 na 0742 580 263 Wanaweza kukutumia ujumbe ufuatawo.. TATUMZUKA Hongera! Umejishindia BONUS Ya Tsh.MILIONI 6 Katika Droo Yetu Ya Saa11. Kamp No.555111...
2 Reactions
44 Replies
8K Views
Kwanza kabisa nishukuru mashirika yote yanayotoa bima za afya kwa watanzania hakika wanafanya kazi kubwa sana kuhakikisha kila mtanzania anapata huduma za kiafya zililizobora kabisa. Lakini suala...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
ASKARI Polisi mkoani Ruvuma, amekutwa amekufa kwenye baa ya Friend's Pub iliyoko katikati ya mji wa Songea huku ikielezwa kuwa alikuwa amekunywa pombe kupindukia. Akizungumza na waandishi wa...
4 Reactions
66 Replies
11K Views
Madereva wa daladala wa jijini Mbeya leo Jumatatu Machi 18, 2019 wamegoma kutoa huduma ya usafiri kwa shinikizo la kutaka Bajaji zisipite barabara kuu. Mwananchi imefika kituo cha Uyole na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
SERIKALI imetenga jumla ya Sh trilioni 1 .27 kukarabati vyuo vitano vya polisi katika bajeti ya mwaka 2018/19, gharama hiyo ikijumuisha ukarabati wa majengo ya o si, mabweni, makazi ya wakufunzi...
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…