Hawa Majambazi walitutesa sana Barabarani

Hawa Majambazi walitutesa sana Barabarani

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Miaka hiyo ukitoka mwanza,shinyanga tabora kuja dar ilikuwa ni safari ambayo unatubu dhambi zako kabisa na njia nzima unaimba mapambio na kutafakari ukuu wa Mungu mpaka ukifika Dar.

Ilikuwa ni safari ya mashaka sana.anasimulia ankole ambaye alikuwa dereva wa magari ya mizigo toka dar kwenda kanda ya ziwa.

"Siku hiyo tajiri (mwarabu) alikuwa amesimamia kidede sana upakiaji wa tumbaku toka tbr kuleta morogor kiwandani.alihakikisha mzigo unajaa kabisa na kusiwe na nafasi hata ya kuweka mguu kwenye trailer.bahati mbaya mzigo ndo nlikuwa namalizia hivyo kwenye trailer ikabaki nafasi kubwa tu.

Sisi madereva tulikuwa na mchezo wa kuunga bodi/trela...yaani njiani huko tulikuwa tunapitia magunia au mizigo kadhaa ambayo wadau wanataka tuwasafirishie kuleta town...allahamdullilha sihaba ilisaidia kufukia fukia mashimo yanayopatikana njiani tunapolala na mademu guest house.

Mwarabu alishaambiwa mimi naunga sana trela tena napiga nyoka ile kinoma...akaona kunikomoa basi tuje naye morog.basi akakaa kushoto...mi nikakamata mduara nikaanza kupiga mpini....tukajongea mpaka mitaa flani mida ya jioni.hamadi tupo kama katikati ya magema mawili mbele wadau wa barabarani wameweka mawe...

Tunatafakari wakatokea na kututaka tushuke maana walisema wao hawana makuu...wanakusanya kodi tu.yule mwarabu alikuwa na vijicent kadhaa..ikabidi wampukutishe kila kitu...wakawa wanaona kodi haijatimia wakamchapa chapa sana na mapanga wakimsema tajiri anasafiri vipi bila ufuta mfukoni.

Jamaa mmoja kama masikhara akasema ' huyu mwarabu analeta masikhara basi ngoja nimfire...mshenzi kabisa..." Mwarabu alisihi sana kuwa si vyema kumwinamisha...jamaa akamchapa nao kabisa huku mimi naona. Baadaye wakamchapa chapa tena na mapanga wakatwambia tung'oe tanga. Mwarabu njia nzima hakusema neno.

Tumefika morogoro mwarabu amepoa kinoma anamung'unya mung'unya tu maneno na kusonya...yaani hana stories kabisa .

Basi wakati mzigo unashushwa mi nkachepuka kuongea na washkaji... Nageuka hivi mwarabu huyu hapa.akawa anakaba kinoma haniachi na jamaa...kula anatak twende wote kulala anakanichukulia hotel aliyokuwa analala yeye.msosi kila kitu alikuwa anagharamia yeye siku mbli zote sikupata nafasi ya kuongea na washkaji kabisa.

Tukawa tunarudi... Tumefika karibu na yale maeneo kama masaa mawili kabla mwarabu akanambia sasa nimpe usukan apige mpini yeye....sasa mbele kidogo tu tukapigwa mkono.daahh wakusanyaji kodi kama 10 hivi tena wakinyamwezi

Wakatupukutisha kila kitu.hawakuridhika wakauliza nani dereva mwarabu haraka akajibu mimi akaitwa ....we mwarabu dereva unarudi vipi na gari tupu hivi badala ya kukusanya pesa?si tukale wapi huyu tingo hatumlaumu....njoo huku wakamvuta na kumpinda jamaa akamchapa nao.wale washenzi walikuwa wanyama sana

Wakamwachia anatembea kwa shida...akapanda kwenye gari huku akilia... Shabani inakuaje nafirwa mara mbili wewe hufirwi kabisa... Kwa nini mimi shabani kwa nini mimi? Akaniasa sana nisimwambie mtu matukio yale.

Tumefika tabora mwarabu akawa hana amani kabisa akiniona nmekaa na jamaa naongea ananiita "shabani... Nasimulia nini huko?" Mwarabu akawa ananipa bonus nyingi sana.mpaka nakuja kuacha kazi nilikuwa nmekusanya pesa nyingi sana toka kwa mwarabu akitaka nitunze siri.

Kisa kingine tulivuliwa nguo barabarani abiria wa kwnye basi tukawa uchi kabisa.... Ntaendelea nacho.


Lete na wewe chako.
 
Nasimulia ni i huko= haya matamshi ya kihindi sio waarabu
Wakusanya kodi wamewasimamisha walimuona muarabu anavyoendesha gari iwaje tena waulize nni dereva?
 
Unaweza kutuhakikishia kwa namna ipi tukakuelewa kua nawewe hukupitiwa na majambazi?

Sent using unknown device
 
Aiseee mkiliwa ndogo na mwenzako hata mje mkosane vipi lakini hakuna ataethubutu kutoa siri

Sent using unknown device
 
Kodi iliyojenga barabara uzisemazo imelipwa na wengine ambao hawajui wala kuwa na kadi ya chama cho chote cha siasa.

Ccm ile kwanza ilikuwa ya wapigaji tu, kiasi kwamba hata Mwenyekiti wake hudiriki kusema "tumechezewa sana, tumepigwa sana, nk"

Sasa mchezji na mpigaji alikuwa nani kama sio ccm wanaoiongoza serikali kwa takriban miaka 55.

Unajinasibu kwa vitendo ya miaka mutations tu, hebu fikiria ccm ilivyoirostisha nchi kwa miaka 52!?
AIBU!
Duuh.. Ishukuliwe CCM kwa kujenga barabara kiwango cha lami

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba mimi nahisi na wewe wamekugegeda sana tu maana haiwezekani siku moja tu mwarabu wa watu wakamgegeda unatupiga kamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wacha uongo wako hawa jamaa hawakuwa na tabia hizo unazozisema wewe wao shida yao ilikuwa ni pesa tu
Ila kuna kipindi madereva walikomeshwa sana. Jamaa wakiteka gari, basi tingo analazimishwa kumtendea ubaya dereva wake. Dereva anainamishwa na tingo anamaliza mchezo. Labda mleta mada angetueleza je hayo yalimkuta? Ila kuna kipindi abiria walilazimishwa kuimba ule wimbo wa Banza Stone, mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.
 
Hakuna mtoa stori anayeweza kusema niliinamishwa. Mtoa stori mbaya hutoa ya wenzake. Mtoa stori nzuri utakuta yeye ndio steringi na steringi hainamishwi yeye ni mtu wa mademu wazuri tu
 
Back
Top Bottom