Wakazi wa Temeke wanashukuru Jeshi la Polisi kwa msako wa huyo muuaji wa kutumia kisu na hali imetulia sasa

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,312
2,000
Pitapita yangu nimekutana na wakazi na vijana wa Temeke ambao wakutana na msako wa vijana wa Jeshi la Polisi ktk msako mkali sana wa kuhusu huyo jamaa ambaye inasemekana amefanya mauaji ya baadhi ya wananchi wasiokuwa na hatia.

Wananchi wanashukuru kwa msako huo maana umesaidia kutofanyika kwa mauaji tena ya wananchi wasiokuwa na hatia.

Baadhi ya vijana ambao wamekuwa wanakaa maeneo hatarishi wamekutana na hiyo dhahama baada ya kupelekwa vituoni kwa mahojiano zaidi.

Wito kwa vijana ni kuwa usipende kukaa maeneo ambayo ni hatarishi kwa maana ni rahisi kukamatwa na Polisi kwasababu kina maeneo ambayo wanawake wengi wamekuwa wakiporwa pochi zao na simu pia.

Wananchi wanashukuru Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri inayoendelea kuhusu usalama wa raia na mali zao..
 
mwalwebe

JF-Expert Member
Dec 20, 2015
807
1,000

We ni polisi?acheni kufanya kazi kizamani kwa kubahatisha,nilitegemea mfumo mzima wa intelligence kwa kumkamata mtuhumiwa sasa nyie mnasomba vijana mtaani kama vipofu,
Kwa sasa nataka kusajili kampuni yangu ya private investigation ambayo itakuwa na watalaam waliobobea,naombeni hii itakuwa ni kampuni ya kuchunguza tu kama polisi watahitaji vielelezo nitakuwa na uwezo wa kuwapatia bila tatizo lolote.
 
Mpepelezi gani unaongea kwa hasira hivyo.Sheria bado haijaruhusu hilo wazo lako kutekelezwa.
 
mwalwebe

JF-Expert Member
Dec 20, 2015
807
1,000
Mpepelezi gani unaongea kwa hasira hivyo.Sheria bado haijaruhusu hilo wazo lako kutekelezwa.
Bora Mimi naongea kwa hasira kuliko nyie mnakamata watu ovyo bila kujua mhusika ni yupi,nakumbuka kifo cha yule mhadhiri Sengondo mnvungi mkaenda kukamata vibaka eti ndiyo waliomuua mpaka sasa hivi hata kesi haipo tena.
 
Hashpower7113

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,262
2,000
Nikajua amekamatwa, mtoa hoja umetishwa nini? Ulitoa hoja awali ya kuelezea tatizo na lilikuwa Jambo jema, leo unakuja na nini hiki?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom