Jamii isiyoendelea kifikra

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,559
JAMII ISIYOBADIRIKA KIFIKRA

Habari za mchana wapendwa ….

Miaka ya 1980, nilikuwa chini ya miaka 10, nilizoea kuona vitu mbalimbali kama vile vipini, sindano za kushonea nguo, nyembe n.k zikiwa na lable ya MADE IN SHANGHAI CHINA. Hii inaonesha kwamba tangu miaka ile hadi leo China wanabeba pesa toka Tanzania kwa kutuuzia vitu mbalimbali tena vya ajabu ajabu. Hivi hawa watanzania wenzangu wenye mitaji mikubwa hawakuwahi kuliona hili na kuwekeza kwenye nyembe, vipini na sindano?

Miaka ya 1990; nilikuwa nafanya biashara ya kutengeneza vikapu maarufu kama entukuru. Nilitengeneza na kuuza kwenye magulio mbalimbali hadi pale nilipoingia kwenye shughuli tofauti na hizo. Serikali haikuona nia ya kuboreshaa teknolojia hiyo ili kutengeneza kiwanda cha kuunda vikapu na kuwaendeleza vijana tuliokuwa tuna uwezo huo.

Miaka ya 2000; nimeanza kuwaona wachina wakiingiza vikapu vyenye muonekano kama ule niliokuwa nikitengeneza na vinauzwa sehemu mbalimbali.

Wachina wameiga toka kwetu, wakaenda kwao wakaboresha alafu wakarudisha kutuuzia na sasa vikapu vya asili havina soko tena.

Nini tatizo?

Serikali ni tatizo; kila kitu kinachofanywa na mwananchi serikali inaingilia na kumbughudhi. Nakumbuka wakati tunatengeneza vikapu, tulikuwa tunasumbuliwa sana na maafisa misitu eti hatuna vibali vya kuvuna miti. Ilikuwa kero kweli kweli.

Serikali ni tatizo; badala ya kuwekeza kwenye kuwafundisha watanzania namna ya kufuga samaki wanawazuia kuvua samaki waliopo ili kutengeneza soko la samaki toka nje matokeo yake tunaletewa samaki waliovuliwa kwa sumu.

Serikali ni tatizo; wenye mazao yao wakipata soko jirani, mamlaka husika zinawaharasi kwa kushirikiana na polisi. Wanakamatwa na mali zao / mazao ya kilimo yanaporwa tu. Katika hili niwape pole ndugu zangu wa Bukoba mliopata soko la kahawa Uganda lakini mkazuiliwa kuuza huko penye bei nzuri.

Serikali ni tatizo; …. Akipatikana mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza bunduki anakamatwa ati hana leseni ya kufanya hivyo. Anasumbuliwa eti anawasaidia waharifu. Badala ya kumchukua na kumuweka sehemu ili afundishe wengine namna ya kutengeneza bunduki anafungwa ili bunduki ziendelee kuagizwa toka nje.

Serikali ni tatizo; mtu anajikunja anatengeneza mzani (beam balance) anakamatwa na taasisi ya mizani eti hana kibali; kibali cha nini wakati pale ninapoonesha uwezo wangu kwa jambo fulani hiyo taasisi inapaswa kuniendeleza?

Yapo mambo mengi ambayo serikali kupitia taasisi zake imeyadumaza katika nchi hii. Tusitegemee kuwa Tanzania ya viwanda wakati wataalamu wetu wa ndani hawapewi ushirikiano. Kuna miti shamba imeonesha kutibu maradhi mbalimbali lakini ukiandaa tu dawa hizo na kuanza kuzisambaza … utakutana na taasisi inayojihusisha na chakula na dawa. Hii taasisi kazi yake ilipaswa kuendeleza vyakula na dawa na wala sio kuwabughudhi wanaotumia akili zao kuboresha huduma za chakula na dawa.

Popote pale hapa nchini ukisikia kitu kinaitwa MAMLAKA YA ……. ujue wazi kwamba hiyo ni taasisi ya kudumaza maendele ya …………..
 
Attachments

  • Busket.jpg
    Busket.jpg
    10 KB · Views: 24

Umenena vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zarau zikiweza kuondoka afrika kwa muafrika basi hata mwezini tutakwenda.
tatizo la waafrika nililogundua kuto kumkubali au kukubali kutoka kwa mwenzake au wenzake na unakuta tuna baki nyuma.
 
Kweli kabisa, enzi zile viwanda vya watengeneza gongo vingeboreshwa tungekuwa tunauza nje ya nchi
 
Back
Top Bottom