Bima za afya zinavyowatesa watumiaji. Serikali iangalue kwa jicho la pili

Van Pauser

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
417
418
Kwanza kabisa nishukuru mashirika yote yanayotoa bima za afya kwa watanzania hakika wanafanya kazi kubwa sana kuhakikisha kila mtanzania anapata huduma za kiafya zililizobora kabisa.

Lakini suala linakuja katika hizi hospitali zetu.Unakuta unaenda hospitali upimwa vzr tuu mwisho wa siku wanakwambia dawa hakuna nenda kanunue kwenye pharmacy wakati huo huo anakwenda mtu ambaye hana bima ya afya (it means anatumia cash) anapimwa na ananunua dawa mule mule ambapo wewe umetoka umeambiwa dawa hakuna uende ukanunue pharmacy.

Je, kama mtu mwenye bima ya afya anateseka kiasi kwamba anatibiwa bure ile kauli ya waziri juu ya kila mtanzania ni lazima awe na bima ya afya itafikia mafanikio...?

Mimi kama mtanzania naomba serikali iangalie suala hili kwa jicho la pili hasa hizi hospitali za PRIVATE ndio zinawate sana watumiaji wabima za afyaww
 
Watumiaji wa bima NHIF wengi wao ni wasumbufu na wanaenda mahospitalin kwa kuwa tu anakatwa kila mwezi mda mwingine wanakua sio wagonjwa hasa walimu wanasumbua sana watoa huduma wa afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu hili linahusiana nini na hoja iliyopo mezani??!! Tatizo hapa ni kuwa serikali haiwalipi watoa huduma wa bima kwa wakati, mtu anaona anadawa chache tena za bei ghari kuna mtu ana kuja na cash, aache kumuuzia atoe mkopo? Hata kama ni mimi, serikali ilipe kwa wakati
 
inawezekana kuna baadhi za hospital.

Mimi ninatumia NHIF na familia yangu.. sijawai nyimwa dawa sababu silipi cash.

Dawa hata kama ikiwa haipo hapo hosptal kuna fomu napewa imesainiwa na daktari na ina muhuri.. naenda nayo pharmacy yoyote inayopokea NHIF napewa hiyo dawa bureee..

Kwa dar ukiwa na kadi ya nhif huwezi pata shida yoyote.. Hospitali zipo nyingi sana zinapokea nhif na zina huduma nzuri,,, na pharmacy pia zipo nyingi sana..

NHIF nawatetea kwenye hili
 
Nakuunga mkono mkuu

Wewe utakuwa unafanya kazi nhif, unaongea nadhalia hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakikuambia hakuna dawa mwambie daktari akuandikie jina la dawa, ajaze ktk form yako ya nhif, halafu nenda ktk duka lililosajioiwa na nhif, kusanya dawa, tembea nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huhitaji hata kumwambia, ni utaratibu ulio wazi kujaziwa form kwa dawa yoyote inayokosekana (mradi iwe kwenye list, hapa nina maana kuna dawa zingine BIMA haizilipii).... tatizo kwa wengine kujaziwa form ili akatafute dawa kwake anaona ni MATESO.

Sababu nyingine ni gharama za dawa, BIMA wana bei zao kwa kila dawa wanayoicover so mtoa huduma naye anaweza asione maslahi... pia malipo ya BIMA yanachelewa sana so kibiashara mtoa huduma anaweza kuchagua CASH dhidi ya DENI.

Usile Mbegu.
 
Uzoefu wangu kwa NHIF.

Hili suala mbona limekaa kishabiki sana, binafsi sijawahi kumbana na hili pia kwa rafiki zangu nimeshuhudia kama dawa hamna unaandikiwa fomu maalumu unaenda chuku dawa kwenye pharmacy zeny ubia na NHIF ,

Uzoefu wangu ni kwa hospitali binafsi
Tmj-dar es salaam
Rabininsia-dar es salaam
Masana-dar es salaam
Sanitas-dar es salaam

Sijui kwa bima nyingine,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom