Mbona Mo Dewji haonekani kwenye vikao vya kamati ya Bashite&Taifa Stars

Yule ni mhindi. Hawezi hamasisha Taifa stars hakuna anachopata. Simba ndo biashara yake hivyo lazima ahamasishe maana simba mashabiki mkiingia wengi hela zinakwenda kwake.Simba kadri inavyoenda mbele mkwanja unaingezeka. Yeye ndo anainginza mkwanja.
 
Umewahi kumuona Mo dewji kwenye misiba ya wabongo, kuanzia samwel sitta,ruge, kibonde etc .hajawahi hata kutoa pole kwenye pages zake social media.
Sio yeye tu wote akina rostam Aziz,manji etc
Mbongo mwenzetu ni mengi tu

Sent using Jamii Forums mobile app


huu ni ukweli mchungu.. yule mtanzania wa fursa tu... ila moyoni muhindi...

haonekani msibani wala harusini za watanzania...

na hata kwenye kampuni zake.. watanzania weusi wanalipwa laki na nusu mshahara huku wahindi wenzake wanalipwa mamilioni
 
Back
Top Bottom