ATC mnaanza lini route ya Paris?

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,565
32,210
Kiukweli hii route inalipa sana maana nchini na majirani zetu wengi (Congo DR, Rwanda, Burundi na Comoro) ndo destination yao kubwa. Tafadhali fikirieni pia kwenda Dubrovnik, Croatia.
 
Wao walitawaliwa na wafaransa ni sawa na msumbiji na ureno, sisi haitalipa ila sema uingereza.
 
Wazo zuri ila tuanzie na routes za hapa hapa SADCC,na tuhakikishe tuna vibali vyote na tulipe madeni yetu yote ili tukianza tusikumbane na vikwazo,elewa Rwanda air,Ethiopian Airways,na Kenya Airways watakuwa washindani wetu wakubwa hasa kipindi hiki ambacho SAA WAPO ICU.
 
Nikiwa kama Mfanyakazi wa ATCL niseme tu kwamba bahati kwenye mpango kazi wetu ruti hii ya Paris ipo.Pia tunachukukua mapendekezo ya kwenda Dubrovnik, Croatia. MWaka 2020 tutaanzisha safari za Kwenda Baghdad , Kabul,Hargeisa,Caracas pamoja na Havanna Cuba.Tutakuwa tunapanuka kadri hali itakaporuhusu.
 
Asante kwa kuchukua ushauri. Nina hakika tunakwenda kushangaza dunia
 
Nikiwa kama Mfanyakazi wa ATCL niseme tu kwamba bahati kwenye mpango kazi wetu ruti hii ya Paris ipo.Pia tunachukukua mapendekezo ya kwenda Dubrovnik, Croatia. MWaka 2020 tutaanzisha safari za Kwenda Baghdad , Kabul,Hargeisa,Caracas pamoja na Havanna Cuba.Tutakuwa tunapanuka kadri hali itakaporuhusu.
Asante kwa kuchukua ushauri. Nina hakika tunakwenda kushangaza dunia.
 
Wazo zuri ila tuanzie na routes za hapa hapa SADCC,na tuhakikishe tuna vibali vyote na tulipe madeni yetu yote ili tukianza tusikumbane na vikwazo,elewa Rwanda air,Ethiopian Airways,na Kenya Airways watakuwa washindani wetu wakubwa hasa kipindi hiki ambacho SAA WAPO ICU.
Hamna ubavu wa kushindana na hayo mashirika na ndege zenu reject.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa kama Mfanyakazi wa ATCL niseme tu kwamba bahati kwenye mpango kazi wetu ruti hii ya Paris ipo.Pia tunachukukua mapendekezo ya kwenda Dubrovnik, Croatia. MWaka 2020 tutaanzisha safari za Kwenda Baghdad , Kabul,Hargeisa,Caracas pamoja na Havanna Cuba.Tutakuwa tunapanuka kadri hali itakaporuhusu.
Ushauri mzuri ila Hargeisa ni Somalia kwa Alshabab hapana ndege yetu isije pata shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa kama Mfanyakazi wa ATCL niseme tu kwamba bahati kwenye mpango kazi wetu ruti hii ya Paris ipo.Pia tunachukukua mapendekezo ya kwenda Dubrovnik, Croatia. MWaka 2020 tutaanzisha safari za Kwenda Baghdad , Kabul,Hargeisa,Caracas pamoja na Havanna Cuba.Tutakuwa tunapanuka kadri hali itakaporuhusu.
Mpango kazi wenu mhuuu!! Em kaeni tena
 
Back
Top Bottom