Mnaoamini kuna uchawi mko nyuma sana

Mnaoamini kuna uchawi mko nyuma sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,399
Hakunaga uchawi duniani tuache kudanganyana na kunyweshana chai kwa visa vya kutunga..Mimi nauhakika hakuna uchawi ndo maana mpaka Leo hii sijawahi kukutana na uchawi..watu wengi wanaoamini Kama Kuna uchawi point yao kubwa huwa wanasema eti kwenye bible imeandikwa kuna uchawi..au wengine wanadai eti karatasi moja iliponyoka kwenye kitabu Cha Mungu ndio inayotumika ulimwenguni kufanyia uchawi.zote hizi sio kweli hakuna uchawi jamani elimikeni acheni kuamini dhana na hadithi za kutunga.hakuna uchawi Mimi nauhakika hakuna mwanadamu ana maajabu ya kutisha kama ambayo tunasimuliwa kwenye visa vya kichawi..mwanadamu uwezo wake mkubwa Ni kuweza kukwepa majanga mfano maradhi na ajali huo ndio uwezo tulionao hakunaga uchawi acheni uwoga wa maisha ndugu zangu.
 
Hakunaga uchawi duniani tuache kudanganyana na kunyweshana chai kwa visa vya kutunga..Mimi nauhakika hakuna uchawi ndo maana mpaka Leo hii sijawahi kukutana na uchawi..watu wengi wanaoamini Kama Kuna uchawi point yao kubwa huwa wanasema eti kwenye bub imeandikwa kuna uchawi..au wengine wanadai eti karatasi moja iliponyoka kwenye kitabu Cha Mungu ndio inayotumika ulimwenguni kufanyia uchawi.zote hizi sio kweli hakuna uchawi jamani elimikeni acheni kuamini dhana na hadithi za kutunga.hakuna uchawi Mimi nauhakika hakuna mwanadamu ana maajabu ya kutisha kama ambayo tunasimuliwa kwenye visa vya kichawi..mwanadamu uwezo wake mkubwa Ni kuweza kukwepa majanga mfano maradhi na ajali huo ndio uwezo tulionao hakunaga uchawi acheni uwoga wa maisha ndugu zangu.

Ukamwambie na jiwe haya maneno.
 
Hakunaga uchawi duniani tuache kudanganyana na kunyweshana chai kwa visa vya kutunga..Mimi nauhakika hakuna uchawi ndo maana mpaka Leo hii sijawahi kukutana na uchawi..watu wengi wanaoamini Kama Kuna uchawi point yao kubwa huwa wanasema eti kwenye bible imeandikwa kuna uchawi..au wengine wanadai eti karatasi moja iliponyoka kwenye kitabu Cha Mungu ndio inayotumika ulimwenguni kufanyia uchawi.zote hizi sio kweli hakuna uchawi jamani elimikeni acheni kuamini dhana na hadithi za kutunga.hakuna uchawi Mimi nauhakika hakuna mwanadamu ana maajabu ya kutisha kama ambayo tunasimuliwa kwenye visa vya kichawi..mwanadamu uwezo wake mkubwa Ni kuweza kukwepa majanga mfano maradhi na ajali huo ndio uwezo tulionao hakunaga uchawi acheni uwoga wa maisha ndugu zangu.

Sema nguvu za uchawi hazishindi nguvu za Mungu Lakini usiseme hakuna uchawi. Uchawi upo.
 
Hakunaga uchawi duniani tuache kudanganyana na kunyweshana chai kwa visa vya kutunga..Mimi nauhakika hakuna uchawi ndo maana mpaka Leo hii sijawahi kukutana na uchawi..watu wengi wanaoamini Kama Kuna uchawi point yao kubwa huwa wanasema eti kwenye bible imeandikwa kuna uchawi..au wengine wanadai eti karatasi moja iliponyoka kwenye kitabu Cha Mungu ndio inayotumika ulimwenguni kufanyia uchawi.zote hizi sio kweli hakuna uchawi jamani elimikeni acheni kuamini dhana na hadithi za kutunga.hakuna uchawi Mimi nauhakika hakuna mwanadamu ana maajabu ya kutisha kama ambayo tunasimuliwa kwenye visa vya kichawi..mwanadamu uwezo wake mkubwa Ni kuweza kukwepa majanga mfano maradhi na ajali huo ndio uwezo tulionao hakunaga uchawi acheni uwoga wa maisha ndugu zangu.
hahaha ujarogwa wewe et eeeee
 
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba ulimwengu wa giza unaoendeshwa na nguvu za ibilisi haupo ni story za kupikwa, au mimi ndo sijakuelewa
 
Mimi siamini kama Kuna shetani.shetani Ni Nini?hakuna shetani..ujinga wetu tunamsingizia shetan?
 
Hakunaga uchawi duniani tuache kudanganyana na kunyweshana chai kwa visa vya kutunga..Mimi nauhakika hakuna uchawi ndo maana mpaka Leo hii sijawahi kukutana na uchawi..watu wengi wanaoamini Kama Kuna uchawi point yao kubwa huwa wanasema eti kwenye bible imeandikwa kuna uchawi..au wengine wanadai eti karatasi moja iliponyoka kwenye kitabu Cha Mungu ndio inayotumika ulimwenguni kufanyia uchawi.zote hizi sio kweli hakuna uchawi jamani elimikeni acheni kuamini dhana na hadithi za kutunga.hakuna uchawi Mimi nauhakika hakuna mwanadamu ana maajabu ya kutisha kama ambayo tunasimuliwa kwenye visa vya kichawi..mwanadamu uwezo wake mkubwa Ni kuweza kukwepa majanga mfano maradhi na ajali huo ndio uwezo tulionao hakunaga uchawi acheni uwoga wa maisha ndugu zangu.
Katika Maandiko, katika Agano la Kale na Jipya, aina zote za uchawi ni kinyume na sheria ya Mungu na uhukumiwa (Kumbukumbu la Torati 18: 10-16; Mambo ya Walawi 19:26, 31: 20:27; Matendo 13: 8-10) . Wachawi wa Farao walijaribu kuifanya miujiza iliyofanywa na Musa na Haruni kwa kutumia "sanaa zao za siri," ambazo zinahusu "sherehe au ibada za waganga na wachawi kutumia njia ya kukamilisha mwisho wao: maumbile, maneno, maneno ya uchawi, kuvaa zawadi," Na kadhalika (Kutoka 7:11, 8: 7). Mtume Paulo alimhukumu Elyas mchawi, akimtangaza kuwa "mtoto wa shetani" ambaye alikuwa amejawa "kila aina ya udanganyifu na uwongo" na alikuwa "akipotoza njia njema za Bwana" (Matendo 13:10). Hakuna popote katika Biblia mchawi au mganga ameonyeshwa kwa nuru nzuri. Wote wanahukumiwa na Mungu.

Maandiko yanasema kwamba Mungu huchukia uchawi wote. Kwa nini? Kwa sababu hautoki kwa Mungu. Shetani huwadanganya watu kwa kuwafanya wachukue uchawi mweupe kuwa wa manufaa. Anaweza kufanya hivyo kwa sababu anajifanya kuwa malaika wa nuru (2 Wakorintho 11:14), lakini tamaa yake ni kunasa nafsi za watu wengi kama anavyoweza. Biblia inonya juu yake na mbinu zake mbaya. "Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze" (1 Petro 5: 8).

"Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani" (1 Timotheo 4: 1). Nguvu halisi ya kiroho tu hutoka kwa Mungu, kutoka kwa uhusiano mzuri pamoja Naye kupitia imani katika Yesu Kristo, na kutoka kwa Roho Mtakatifu anayeishi ndani ya mioyo ya waumini.
 
Kusema Tu Kitu Hakipo Hakiondoi Fact Ya Kwamba Kina-Exist Na Pia Kusema Kitu Flani Kipo Hakikufanyi Kuwa Obsessed Nacho! Mfano; Uchawi
 
Ugoro ni hatari kwa afya yako
Hakunaga uchawi duniani tuache kudanganyana na kunyweshana chai kwa visa vya kutunga..Mimi nauhakika hakuna uchawi ndo maana mpaka Leo hii sijawahi kukutana na uchawi..watu wengi wanaoamini Kama Kuna uchawi point yao kubwa huwa wanasema eti kwenye bible imeandikwa kuna uchawi..au wengine wanadai eti karatasi moja iliponyoka kwenye kitabu Cha Mungu ndio inayotumika ulimwenguni kufanyia uchawi.zote hizi sio kweli hakuna uchawi jamani elimikeni acheni kuamini dhana na hadithi za kutunga.hakuna uchawi Mimi nauhakika hakuna mwanadamu ana maajabu ya kutisha kama ambayo tunasimuliwa kwenye visa vya kichawi..mwanadamu uwezo wake mkubwa Ni kuweza kukwepa majanga mfano maradhi na ajali huo ndio uwezo tulionao hakunaga uchawi acheni uwoga wa maisha ndugu zangu.
 
Hakunaga uchawi duniani tuache kudanganyana na kunyweshana chai kwa visa vya kutunga..Mimi nauhakika hakuna uchawi ndo maana mpaka Leo hii sijawahi kukutana na uchawi..watu wengi wanaoamini Kama Kuna uchawi point yao kubwa huwa wanasema eti kwenye bible imeandikwa kuna uchawi..au wengine wanadai eti karatasi moja iliponyoka kwenye kitabu Cha Mungu ndio inayotumika ulimwenguni kufanyia uchawi.zote hizi sio kweli hakuna uchawi jamani elimikeni acheni kuamini dhana na hadithi za kutunga.hakuna uchawi Mimi nauhakika hakuna mwanadamu ana maajabu ya kutisha kama ambayo tunasimuliwa kwenye visa vya kichawi..mwanadamu uwezo wake mkubwa Ni kuweza kukwepa majanga mfano maradhi na ajali huo ndio uwezo tulionao hakunaga uchawi acheni uwoga wa maisha ndugu zangu.

Kama hujakimbizwa huwezi kimbia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom