Hello JF members
huwa ninaumia sana nikienda kufanya shopping kwenye baadhi ya maduka ya chakula marekani nakuta kila aina ya chakula kutoka Africa inapatikana
Mf:kisanvu,viazi...
Habari!
Katika safari za mikoa mbalimbali kama songea,mbeya, shinyanga,Rukwa, Mwanza n.k ambapo pasipo uwepo Wa tochi njiani bus zote ziliweza kufika Jijini Dar es salaam Kwa siku moja pasipo...
Sengerema. Wakiwa wanajiandaa kupiga vigeregere baada ya mazungumzo ya mahari ya binti yao kumalizika, ndugu wanne wa familia moja wamenusurika kifo baada ya kupigwa na radi.
Ndugu hao wakiwa...
WAKAZI wa Kata ya Saranga wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam, wamesherehekea kilele cha Wiki ya Maji kwa furaha, baada ya kuanza kupata majisa ya bomba, ambayo hawajawahi kupata tangu Uhuru...
Wadau,
Nafahamu ni jukumu la kila mmoja wetu kutii sheria bila shuruti.Pia naelewa ni jukumu la wenzetu wanaosimamia sheria barabarani kuhakikisha taratibu zinafuatwa.
Kuna tabia ambayo...
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amezungumzia mahusiano yake na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe na kusema atakuwa na mahusiano mazuri na...
Wadau nimeona niwaletee huu ujumbe baada yakuona watu mjini na magari yao wamebandika stiker hizi nahisi wao wanaona kubandika sticker ya APPLE Niujanja fulani bila kufahamu mahudhui yaliyobebwa...
Mimi sielewi, mnisaidie. Ivi ajari ya ndege ikitokea, hakuna hata uwezekano wa mtu kujitosa huko angani akaluka na palachuti, au ikitokea basi nikusubili kifo tu, au mimi ndo sijui. Maana...
Leo ningesafiri na kampuni ya mabasi super sami T 203 DHM kutoka Mwanza to Dsm, nimekereka sana.
Kazi ya udereva ni moja ya kazi ngumu sana na inahitaji mtu apumzike hususan unaposafiri umbali wa...
Habari zenu wakuu
Tukikumbuka vizuri kulikua na mkataba wa ujenzi kati ya serikali na TBA kwenye ujenzi wa majengo ya magereza toka 2016 lakini hadi Leo 2019 walikua hawajakamilisha.
Mh.raisi...
INASIKITISHAAA SANA SANAA
TAA WANABAGUA NANI WAKUINGIA NDANI..SWISSPORT WARUHUSIWE KUKAA GETINI KAMA ILIVYOKUWA MWANZO..
KAMA DIWANI ANASHINDWA KUHESHIMIKA KULIKO MWANAHABARI DEMN
AMEKUFA...
Wakili Shukuru Mlwafu amefariki dunia jijini Dodoma asubuhi ya leo - Machi 17, 2019.
Shukuru atakuwa anakumbukwa na wana JamiiForums kuwa Wakili katika Kesi dhidi ya Sheria ya Makosa ya Mtandao...
"Mods naomba msiifute post hii kwasababu Ni very sesitive" na ni taarifa rasmi"
Habarini Wadau
Nimefanya kazi katika halmashauri Tatu hivi sasa; ila nimegundua uzembe mkubwa na wa wazi katika...
Hello JF!
Mara kwa mara kwenye debates humu zinazohusu lugha ipi ifundishwe mashuleni huwa mnasema lugha ya kiingereza sio lazima as sehemu Kama China, Singapore wanajiweza kiuchumi na hawatumii...
Habarini wakuu?
bila kupoteza muda tujikite kwenye mada,
wakuu naishi Mtwara japo ni mzaliwa wa Iringa,miaka 24 iliyopita na nimehitimu mafunzo ya ualimu Grade A mwaka 2018.
Mwaka juzi...
Kuna mtu nikonae yaani mpenzi ambaye kwa kipindi chote nimekuwa mwaminifu sana kwake sikuwahi kufikilia kumsaliti kwa namna yoyote hata kumuongopea.
Baada ya muda akaanza kubadilika kuwa mkali...
Wadau salaam
Nilikuwa napita social media nikakutana na hii taarifa ya kifo cha Professa Idrissa Mtulia.
Ni kweli prof. amefariki na taarifa zinasema aliaga dunia akiwa usingizini. Upotoshwaji...
Yaliyokwisha tokea yametokea... Yaliyokwisha jiri yamejiri.... Sasa vumbi linaelekea kutulia japo ni kama kuna chokochoko mpya inatafutwa na hapa hatafutwi mwingine bali Maalim Seif aliyekuwa...
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa...
Natumaini wana Jf weekend imeanza salama.
Naomba tueleweshane kwenye mambo haya:
1.Unakuta mtu kwa mwezi amechangia watu sita michango ya harusi hapo mshahara wake ni 650,000 unajiuliza huu...