Sheikh Basalleh wa Radio Kheri Ni Mchochezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Basalleh wa Radio Kheri Ni Mchochezi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KALABASH, Jan 29, 2011.

 1. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kipindi cjha JUKWAA LA ASIYE NA JUKWAA Radio Kheri 104.10MHz kila Jumapili saa tatu na nusu usiku kina kila daliili za kuhamasisha vurugu. Sheikh Bassalleh huwa ni mtoa mada mkuu katika kipindi hiki. Kwa mara nyingi amekuwa akirudia rudia na kuwaaminisha wasikilizaji wake kuwa waislamu ndiyo wengi (bila kutoa takwimu) Tanganyika na kwa hali hii wanatakiwa wawe wameshika usukani katika kila nyanja na wasikubali "kuonewa". Wana JF mnasemaje juu ya hili?
   
 2. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280

  jee?kuna mantiki yoyote kwa sheikh bassalleh kuhamasisha waislam? na jee? kuna ombwe kama wanavyodai ma ulamaa waislam kutokushirikishwa katika ngazi nyingi za maamuzi?
   
 3. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Si ndio kale kazee kafupi keupe hivi? Niliwahi kusikiliza kipindi fulani akiwa Channel 10 na mwenzie Makwaia wote sounded crazy
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu dont west ur time listening to this radio station as much as u know their level of understanding
   
 5. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  hako kazee nini hasa lengo lake? Hapa kuna tatizo angekua mkristo basi wange lalama mpaka dunia nzima ijue.
   
 6. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Akiandikwa atasema kaonewa. Watu wenye udini wanaganga njaa.

  Ethics Committee censures Kulikoni, Kiu

  THE ETHICS Committee of the Media Council of Tanzania has censured two newspapers, Kulikoni and Kiu, for ethical lapses and called on media houses in the country to strengthen gate keeping mechanisms.

  Meeting on May 23, 2008 under its Chairperson, Justice Mark Bomani, the Committee arbitrated three cases brought before it by members of the public.


  The Committee found that Kulikoni had been negligent in publishing an article which alleged that the complainant, Sheikh Ali Basaleh, the Imam of Idrisa Mosque in Dar es Salaam, was intentionally bent on causing discord between Tanzanian Muslims and Christians by saying that the conflict in Middle East was a war between Christianity and Islam.


  The article further claimed that Sheikh Basaleh was purposefully making such statements to foment discontent between Tanzanian Muslims and Christians so as to further the agenda of some people or nations of whom Sheikh Basaleh was an agent. Sheikh Basaleh argued that the allegations were false and defamatory and not only lowered his esteem but set him on a collision course with fellow Tanzanians and the Government.

  On his part Kulikoni editor, Nyaronyo Kicheere, defended his newspaper saying that the said article was written by a correspondent and did not necessarily reflect the position of the paper. He said the newspaper was a forum for people to exercise their freedom of expression, adding that had Sheikh Basaleh wanted, he would also have been granted space to express his side of the issue.


  In its decision, the Ethics Committee said that Kulikoni has no justification to publish defamatory content on the basis of freedom of expression. It said the right to freedom of expression ends where the rights of another individual begin.


  The Committee was of the opinion that Kulikoni had not exercised diligence in editing the article to ensure libelous content was not published. It thus directed the newspaper to apologize to Sheikh Basaleh, and Editor said his paper would comply.


  The Committee also allowed the two parties to meet and negotiate on other remedies and inform the Council.


  The MCT Ethics Committee called upon all media outlets to strengthen their gate-keeping mechanisms, to ensure that libelous content is eliminated. The Chairperson, Justice Bomani, said that some of the ethical lapses which people come to the Council to complain about are a result of the collapse of a vigorous system of checks.


  He said proper gate keeping mechanisms should not be abandoned by media outlets for the sake of reducing costs.
   
 7. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  aache uzushi
   
 8. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  .
  Mwenye akili, busara, subira na uelewa wa mambo, ikitokea akakupa karipio ni lazima karipio hilo lichukuliwe kwa uzito unaostahili tofauti na shutuma au malalamishi ya asie ufahamu.
  Hii ndio tofauti iliyopo kati ya karipio la wakristo na malalamishi ya waislam.
  .
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nakipenda sana hicho lipindi kinaelimisha sana wananchi
   
 10. e

  emalau JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hi jf members, it seems the moderator has changed the format i'm used to, whenever i read the first page of the topic i fail to go to the second one, could any body tell me how to go to the second page of comment and others?
   
 11. Petiro

  Petiro JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  May be kuna waya imekatika kichwani mwake na pia amepungukiwa hekima na maarifa. Nawashauri mumpuuzie
   
 12. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa nini na wewe unasikiliza radio zisizo na mbele wala nyuma! Radio inayofundisha namna ya kunawa na kukaa wakati unakula pilau nayo ni radio!! Achana nao, wehu hao.
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Aise umekosea sana wanafundisha mengie ya maana take time to listen at least once a week

  Usiogope bure, na usimtishe mwenzio anaeleimika kwa ajili ya radio hiyo
   
 14. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mie naomba kuuliza kwa muanzishaji hii Thread je ni uongo waislamu sio majority nchini?

  Pili una hakika anachochea au anawahamasisha waislam kuondokana na ujinga kusoma, kutafuta kazi za maana na kuingia katika kisiasa ili wapate kujikwamua?

  Tatu unaenda kusikiliza redio kheri kwa ajili ya nini kwanini usisikilize redio tumaini???
   
 15. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mbona maswali yote umejibu mwenyewe!! Sasa unataka kujua nini kutoka kwake?
   
 16. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nimeuliza naomba jibu sijajibu kitu hapo? Alijiuliza haya maswali na majibu yake yakoje?
   
 17. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Huyu shekhe si ndie aliomba mdahalo na Kakobe? sijui kama hiyo mechi ilifanyika, walioko Bongo tuhabarisheni!
   
 18. F

  Fungu la kukosa Member

  #18
  Jan 29, 2011
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sheikh Basalehe ni kiongozi wa kidini mwenye hadhi kamili ya uongozi katika jamii ya waislam sawa na Pengo wa kanisa katoliki au mtikila wa kanisa li silo rasmi. kwahivyo basi anahaki ya kutoa maoni yake kama walivyoviongozi wengine wa kidini hapa nchini.

  Kuhusu madai ya kuwa waislaam ndiyo wengi hapa nchini hayo ni sahihi kabisa wala hayana ubishi. kwani ushahidi wa jumla unadhihirisha kwamba zaidi ya 75% ya wakazi wa mijini ni waislaam na huko mashamba 45%. (source: Globa popolation statistics 1989, sectiohjn E&F EAST AFRICA REGION).

  Kusema kwamba waislaam wajiandae kushika madaraka hilo sio kosa la jinai, ni tamko la kawaida na laweza kusemwa na pengo, Mtikila Kilaula nk.
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Haki ya kutoa maoni inawalinda hata wenye maoni makali, yenye ukweli na ya kijinga. Ili maoni yawe yamevuka haki ya uhuru wa maoni ni lazima yafikie mahali pa kuhamasisha vitendo viovu. Nadhani anatumia haki yake tu ya kutoa maoni ni jukumu la wasikilizaji kupima uzito wa maoni hayo.
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa, kama hapa JF wanavyotoa maoni makali na ya kijinga
   
Loading...