Website ya bodi ya mikopo ime hackiwa ni kikundi kiitwacho TANZANIA HACKERS

carcinoma

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
5,059
13,720
Hali ya sintofahamu yazuka baada ya website ya bodi ya mikopo kuhackiwa na watu wajiitao TANZANIA HACKERS na kuanza kupost mambo yasiyohusiana na taarifa za mikopo..
IMG-20180126-WA0085.jpg

.maneno yanayosomeka kwenye website hio ni kama 'HAPA KAZI TU'
Na 'WATU WASIOJULIKANA'
 
hii kazi sasa,kutakua na mzazi mmoja mwenye hasira kaamua kufanya hivyo.....mmmnhh smh
 
Hali ya sintofahamu yazuka baada ya website ya bodi ya mikopo kuhackiwa na watu wajiitao TANZANIA HACKERS na kuanza kupost mambo yasiyohusiana na taarifa za mikopo..View attachment 685049
.maneno yanayosomeka kwenye website hio ni kama 'HAPA KAZI TU'
Na 'WATU WASIOJULIKANA'
hii kazi sasa,kutakua na mzazi mmoja mwenye hasira kaamua kufanya hivyo.....mmmnhh smh
hii kazi sasa,kutakua na mzazi mmoja mwenye hasira kaamua kufanya hivyo.....mmmnhh smh
Duuu....wau washaanza piga dua hao wadukuzi "hackers" wawafutie madeni yao bodi ya mikopo au aonekane kamaliza deni waka ndo anaanza kukatwa mwaka huu...nawaona nawaona...mnavyo omba fursa hiyo iwapitie
View attachment 685061hii ndio taarifa waliotoa....kwamba wanataka ajira
Hio pc ni ya kazi mkuu....iko ki kazi kazi ..pc safi utazikuta kwa ma secretary
Msiwe wepesi wa kuingizwa chaka namna hii. Nendeni wenyewe ktk reliable website.
 
It only hapen for few minutes even kwangu ilizingua then later on the same site ikakubali

Its just only as a notification note to them

f60ba8bd71ca69709c539b333f1dc6d1.jpg
 
It only hapen for few minutes even kwangu ilizingua then later on the same site ikakubali

Its just only as a notification note to them

f60ba8bd71ca69709c539b333f1dc6d1.jpg
Sasa kuna jamaa anajataa anasema sio kweli..

Au atakuwa ni IT wa bodi ya mikopo anaokopa kutumbuliwa
 
Back
Top Bottom