Historia fupi ya wazee wa Abdul Nondo

Historia fupi ya wazee wa Abdul Nondo

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
525
Reaction score
2,951
Kijana huyu Abdul Mahmoud Omar Athuman Kagobe, (Abdu Nondo) ni mjukuu wa Omar Athuman Kagobe, ambaye ni veteran wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (1914 – 1918), na baadae alijiunga na Jeshi la Polisi na kuacha kazi baada ya uhuru, mwaka 1961.

Sheikh Mtumwa Suleiman Kagobe ndiye aliyeileta TANU Ujiji na nyumbani kwa Sheikh Mtumwa Suleiman Kagobe ndio pia alipofikia Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Bibi Titi na Sheikh Suleiman Taqadir mara mbili kwenye harakati za kupigania uhuru na mahali hapo ndio TANU imejenga Mnara wa Kumbukumbu.

Kwenye nyumba hiyo ndio pia alipofikia Sheikh Abdallah Saleh Al Farsy mara mbili na Sheikh Hassan bin Ameir.

Dada yake Mzee Omar Athuman Kagobe ni Zubeda Athuman Kagobe na ndio aliyemzaa Dr. Sherry Taki, msomi wa sayansi ya siasa kutoka Chuo Kikuu cha Lumumba, Moscow wakati wa Urusi ya Kikomunisti.

Mwanae mwingine ni Mamdu Taki, msomi wa Tabora School na Makerere alikoma pamoja na akina Timothy Apiyo, na akafanya kazi Mamlaka ya Tumbaku kwa zaidi ya mianka 20.

Binti yake Nargis Taki aliolewa na Mpigania uhuru wa Tanganyika Bwana Rashid Kheir Baghdellah, ambaye ametajwa sana kwenye Kitabu cha Mohmed Said, mwandishi wa kitabu cha ‘’Maisha na Nyakati ya Abdul Wahid Sykes…’’ Bibi yake mzaa baba ni Kulthoum Hemed Kiumbe, dada wa Sheikh Khalfan Mohamed Kiumbe, na Mahmoud Mohamed Kiumbe ambaye alikuwa mwanachama shupavu wa TANU na kabla ya uhuru Mtaa Maalum ulipewa jina lake huko Ujiji mpaka leo, unaitwa Mwalim Kiumbe Street.

Babu yake Mzaa mama ni Alhaj Juma Rehani, msomi kwenye Tarika ya Mwinyi Mkumbati, Twarika ya zamani sana Ujiji iliyoasisiwa na Mwinyi Kheir Bin Mwinyi Mkuu Al Ghashan, mkubwa wa zamani wa Ujiji akiwakilisha Dola ya Zanzibar, ikisimamiwa na Sheikh Hamisi Bin Sali, na ikarithiwa na Salim Bin Mwinyi Kheir, ndiyo ikaja kusimamiwa na Mwinyi Mkumbati.

Akina Sheikh Kiumbe walikunywa ijjaza kwa Sheikh Khalfan Al Bulush mrithi wa tarika hiyo ambayo ilikuja kurithiwa na Sheikh Kiumbe na Sheikh Omar Kakolwa na kupata nguvu alipokuja Sheikh Mohamed Nassor kutoka Zanzibar, babu yake Abdu Nondo na aliendelea kuwa Khalifa wa Sheikh Mohamed Nassor kwenye Tarika Qadiria hadi umauti.

Kadhia ya Abdu Nondo inatukumbusha zamani tu baada ya Tanganyika kupata uhuru, mwaka 1968 Mwalim Kambarage Nyerere alimtuma Aliyekuwa Waziri Wa Mambo ya Ndani Saidi Maswanya, kuwataka watu wa Kigoma wathibitishe Uraia wao, wakiwemo wanafunzi waliotoka Mkoa Wa Kigoma popote walipo walirejeshwa makwao kwa ajili ya zoezi hilo,

Kwenye mkutano Bwana Said Maswanya, aliambiwa na wazee wa Ujiji wakiongozwa na Alhaj Yussuf Tossir na Mzee Rashid Kazema, akamwite aliyemtuma na mkutano ukavunjika, na hii ndio lilipelekea Mhesimiwa Manju Msambya na marehemu Aman Walid Kabourou kufanyiwa fitna na kufukuzwa shule Kigoma Secondary Nyakati hizo.

Ombwe hili ambalo la kibaguzi lingalipo linawaandama wenyeji wa Kigoma mpaka sasa.[/b]
www.mohammedsaid.com/2018/04/kutoka-what...aliyonifika.html?m=1

[http://islamictides]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiunga juhudi haina hata haja ya kutaja historia yako wala nini unakuwa mtanzania pure .Tatizo la kutokuwa mtanzania laja unapo enda kinyume na malaika mkuu jiwe. We huoni kakobe ashakuwa mtanzania aliporidhia mtukuza malaika?
 
Duh! Kazi kwel kwel
Kakobe kaufyata fyaaaaaaa....

Mkuu muda wa kuanza kampeni bado!
 
Hii shida ipo tangu tupate uhuru. Mtu yeyote aliyeipinga Tanu alifuatiliwa mpaka ajulikane mababu zake walikotokea. Waliokuwa Tanu kama Nyerere hawaulizwi kama walitokea wapi. Tukiwachunguza viongozi wengi kwenye chama tawala, ni watu wa kuja ila hawaguswi.

Kumbuka Amani alivyovuliwa uraia kisa hakumuunga mkono Mkapa. Baadaye karudishwa kundini na baadaye kavuliwa nguo na Kagasheki. Watu wanaotoka mipakani mtu akikwambia ni raia 100 persent si kweli.

Watu walikuwa wanahama kuanzia kalne za zamani na walichukuliwa mateka wakati wa vita vya kikabila hivyo labda waanze kupima DNA ndo tukubaliane.

Obama aliweza kuwa Rais wakati baba yake ni Mkenya, Wametokea mawaziri wakuu Uingereza wenye asili ya Israel lakini sisi tunachokonoana sababu ya uchu wa madaraka.
 
Asante kwa kutujuza machache kuhusu historia yako kwa kutumia ID yako orijino,ukiwa na nondo zozote endelea kuzishusha humu.
 
Hii shida ipo tangu tupate uhuru. Mtu yeyote aliyeipinga Tanu alifuatiliwa mpaka ajulikane mababu zake walikotokea. Waliokuwa Tanu kama Nyerere hawaulizwi kama walitokea wapi. Tukiwachunguza viongozi wengi kwenye chama tawala, ni watu wa kuja ila hawaguswi.

Kumbuka Amani alivyovuliwa uraia kisa hakumuunga mkono Mkapa. Baadaye karudishwa kundini na baadaye kavuliwa nguo na Kagasheki. Watu wanaotoka mipakani mtu akikwambia ni raia 100 persent si kweli.

Watu walikuwa wanahama kuanzia kalne za zamani na walichukuliwa mateka wakati wa vita vya kikabila hivyo labda waanze kupima DNA ndo tukubaliane.

Obama aliweza kuwa Rais wakati baba yake ni Mkenya, Wametokea mawaziri wakuu Uingereza wenye asili ya Israel lakini sisi tunachokonoana sababu ya uchu wa madaraka.
Mi nashangaa sana kwa nini watu wa Arusha na Kilimanjaro huwa hawakumbwi na kadhia ya kuambiwa wao siyo raia wa Tanzania ama kuletewa zangwe kuwa wadhibitishe uraia wao......Sipati picha Mbowe angekuwa katokea ujiji....
 
Kijana huyu Abdul Mahmoud Omar Athuman Kagobe, (Abdu Nondo) ni mjukuu wa Omar Athuman Kagobe, ambaye ni veteran wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (1914 – 1918), na baadae alijiunga na Jeshi la Polisi na kuacha kazi baada ya uhuru, mwaka 1961.

Sheikh Mtumwa Suleiman Kagobe ndiye aliyeileta TANU Ujiji na nyumbani kwa Sheikh Mtumwa Suleiman Kagobe ndio pia alipofikia Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Bibi Titi na Sheikh Suleiman Taqadir mara mbili kwenye harakati za kupigania uhuru na mahali hapo ndio TANU imejenga Mnara wa Kumbukumbu.

Kwenye nyumba hiyo ndio pia alipofikia Sheikh Abdallah Saleh Al Farsy mara mbili na Sheikh Hassan bin Ameir.

Dada yake Mzee Omar Athuman Kagobe ni Zubeda Athuman Kagobe na ndio aliyemzaa Dr. Sherry Taki, msomi wa sayansi ya siasa kutoka Chuo Kikuu cha Lumumba, Moscow wakati wa Urusi ya Kikomunisti.

Mwanae mwingine ni Mamdu Taki, msomi wa Tabora School na Makerere alikoma pamoja na akina Timothy Apiyo, na akafanya kazi Mamlaka ya Tumbaku kwa zaidi ya mianka 20.

Binti yake Nargis Taki aliolewa na Mpigania uhuru wa Tanganyika Bwana Rashid Kheir Baghdellah, ambaye ametajwa sana kwenye Kitabu cha Mohmed Said, mwandishi wa kitabu cha ‘’Maisha na Nyakati ya Abdul Wahid Sykes…’’ Bibi yake mzaa baba ni Kulthoum Hemed Kiumbe, dada wa Sheikh Khalfan Mohamed Kiumbe, na Mahmoud Mohamed Kiumbe ambaye alikuwa mwanachama shupavu wa TANU na kabla ya uhuru Mtaa Maalum ulipewa jina lake huko Ujiji mpaka leo, unaitwa Mwalim Kiumbe Street.

Babu yake Mzaa mama ni Alhaj Juma Rehani, msomi kwenye Tarika ya Mwinyi Mkumbati, Twarika ya zamani sana Ujiji iliyoasisiwa na Mwinyi Kheir Bin Mwinyi Mkuu Al Ghashan, mkubwa wa zamani wa Ujiji akiwakilisha Dola ya Zanzibar, ikisimamiwa na Sheikh Hamisi Bin Sali, na ikarithiwa na Salim Bin Mwinyi Kheir, ndiyo ikaja kusimamiwa na Mwinyi Mkumbati.

Akina Sheikh Kiumbe walikunywa ijjaza kwa Sheikh Khalfan Al Bulush mrithi wa tarika hiyo ambayo ilikuja kurithiwa na Sheikh Kiumbe na Sheikh Omar Kakolwa na kupata nguvu alipokuja Sheikh Mohamed Nassor kutoka Zanzibar, babu yake Abdu Nondo na aliendelea kuwa Khalifa wa Sheikh Mohamed Nassor kwenye Tarika Qadiria hadi umauti.

Kadhia ya Abdu Nondo inatukumbusha zamani tu baada ya Tanganyika kupata uhuru, mwaka 1968 Mwalim Kambarage Nyerere alimtuma Aliyekuwa Waziri Wa Mambo ya Ndani Saidi Maswanya, kuwataka watu wa Kigoma wathibitishe Uraia wao, wakiwemo wanafunzi waliotoka Mkoa Wa Kigoma popote walipo walirejeshwa makwao kwa ajili ya zoezi hilo,

Kwenye mkutano Bwana Said Maswanya, aliambiwa na wazee wa Ujiji wakiongozwa na Alhaj Yussuf Tossir na Mzee Rashid Kazema, akamwite aliyemtuma na mkutano ukavunjika, na hii ndio lilipelekea Mhesimiwa Manju Msambya na marehemu Aman Walid Kabourou kufanyiwa fitna na kufukuzwa shule Kigoma Secondary Nyakati hizo.

Ombwe hili ambalo la kibaguzi lingalipo linawaandama wenyeji wa Kigoma mpaka sasa.[/b]
www.mohammedsaid.com/2018/04/kutoka-what...aliyonifika.html?m=1

[http://islamictides]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishangaa eti mtu akiomba passport kupitia Kigoma kuipata ni shughuli nyingine.Yaani Jamaa wa Uhamiaji Mkoa wanasema eti watu wa Makao Makuu wanascreen sana Maombi ya passport kutoka Kigoma

Pole kwa masaibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nashangaa sana kwa nini watu wa Arusha na Kilimanjaro huwa hawakumbwi na kadhia ya kuambiwa wao siyo raia wa Tanzania ama kuletewa zangwe kuwa wadhibitishe uraia wao......Sipati picha Mbowe angekuwa katokea ujiji....
Mkuu Arusha na Kilimanjaro sio kitu ya kawaida kama unavyofikiri ukiwagusa wenye dunia utakiona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom