Msaada namna ya kufanya online transaction

debbug

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2018
Posts
562
Reaction score
860
Natumai mu wazima wa afya na poleni kwa miangaiko ya kila siku.Niende moja kwa moja kwenye mada

Kuna application moja inahusu mobile tracking nimeinstall kwenye simu yangu kwaaajili ya kutrack simu iliyo potea au kuibiwa lakin tatizo nililokutana nalo ni jinsi ya kulipia hii application

Ni kwamba kwa njia ya NMB au CRDB benk nikiclick kulipia inaniletea sehem imeandika card number sasa nikiweka card namba ya NMB au CRDB inaandika invalid card number na pia nikiweka account number inaandika unsupported form.

Sasa msaada kwa mtu yeyote mwenye utaalam jinsi yakufanya online transaction kwa hizi benk zetu za Tanzania hususani NMB na CRDB nifanyeje ili niweze kulipia

Nb uandishi wangu ni mmbovu kidogo kwaiyo mtanisame ndugu kwa kuteseka kusoma na kuelewa
Screenshot_20190324-162808.jpg
Screenshot_20190324-162121.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwamba kwa njia ya NMB au CRDB benk nikiclick kulipia inaniletea sehem imeandika card number sasa nikiweka card namba ya NMB au CRDB inaandika invalid card number na pia nikiweka account number inaandika unsupported form.

Sasa msaada kwa mtu yeyote mwenye utaalam jinsi yakufanya online transaction kwa hizi benk zetu za Tanzania hususani NMB na CRDB nifanyeje ili niweze kulipia
- Bila shaka kadi zote mbili hazijawezeshwa kufanya miamala mtandaoni.

Nini cha kufanya

a] Kwakuwa ni malipo ya mara moja, Tumia vodacom mastercard ( virtual )
- Jinsi ya kupata card yako angalia hii video.

URL: M-Pesa MASTERCARD

- Baada ya kupokea taarifa za card yako, itumie hiyo kufanya malipo ya hiyo APP. cc: Vodacom Tanzania

b] Fika benki husika, watakupa fomu na kujaza, ndipo watawezesha kadi yako iweze kufanya manunuzi mtandaoni.
 
asant San mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAAANDIKA KWA ELUFI KUBWA ILO NIELEWEKE

MLETA UZI AMETUMIA AKILI KUBWA SANA SANA SANA YAAANI ANA ID MBILI

MOJA ANAJARIBU KUFUNGULIA UZI NYINGINE ANAELEZA JINSI YA KUTUMA PESA

HAPO KUNA ARUFU YA WATU KUIBIWA MUDA SIO MREFU

NOTE : HAO JAMAA NO MATAPERI
 
hahahah akilu Ku mkichwa

Ndugu pole sana.

Tumia muda kujifunza zaidi hapa JF, jinsi watu ambavyo huwa wanasaidiana.

U_mgeni na bado wajifanya mjuaji zaidi.

>> Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums

>> Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy) - JamiiForums

>> Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue! - JamiiForums

Pitia japo hizo thread tatu ili ufunguke kidogo kimawazo na uwe na mtazamo chanya.

Karibu
 
kaka kwenye online transaction kupitia card ya CRDB benk kuna sehem ya kujaza nafasi kama vile

MM/YY CCV
post code
suite
sasa sijajua jinsi ya ujazaji wa izi nafasi kama unajua maana yake plz nisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Expiry date: Mwezi(MM) / Mwaka YY - Mfano 03/20 ; Ikiw na maana kadi inaisha muda wake wa matumizi mwezi wa Tatu mwaka 2020
- Hizi taarifa huwa sehemu ya mbele ya kadi yako.
Hii ni namba inayopatikana nyuma ya kadi yako - Ni tarakimu tatu, ziko mwishoni kwenye utepe ulipo nyuma ya kadi angalia utaziona hizo namba.
post code
Postcode List

Fungua huo ukurasa wa TCRA, Chagua mkoa wako, Download pdf husika, Kisha search jina la wilaya yako na utaona ZIP CODE / POST CODE sahihi unayopaswa kutumia.
Ni kama anwani yako. Kwa TZ tunatumia P.O box
sasa sijajua jinsi ya ujazaji wa izi nafasi kama unajua maana yake plz nisaidie
Fuatisha huo muongoz hapo juu.

KARIBU
 
Expiry date: Mwezi(MM) / Mwaka YY - Mfano 03/20 ; Ikiw na maana kadi inaisha muda wake wa matumizi mwezi wa Tatu mwaka 2020
- Hizi taarifa huwa sehemu ya mbele ya kadi yako.

Hii ni namba inayopatikana nyuma ya kadi yako - Ni tarakimu tatu, ziko mwishoni kwenye utepe ulipo nyuma ya kadi angalia utaziona hizo namba.

Postcode List

Fungua huo ukurasa wa TCRA, Chagua mkoa wako, Download pdf husika, Kisha search jina la wilaya yako na utaona ZIP CODE / POST CODE sahihi unayopaswa kutumia.

Ni kama anwani yako. Kwa TZ tunatumia P.O box

Fuatisha huo muongoz hapo juu.

KARIBU
Asant San kiongoz nashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom