Taarifa za mteja benki

Taarifa za mteja benki

fazam

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
1,868
Reaction score
1,291
habari wakuu ...nimewaza kidogo kwa upeo wangu finyu wa kufikiri...hivi katika zoezi la kujisajili kujiunga na benki yeyote hapa tanzania ...huwa tunajaza taarifa za (next of kin) mtu wa karibu wa kupewa taarifa za akaunti ya mteja iwapo kuna tatizo lolote kwenye akaunti ya mteja....mfano akaunti ya mteja imecease bila transaction kwa muda mrefu mfano mwaka mmoja au miwili.......huwa tunajaza taarifa za wadhamin je mabenki huwapa taarifa wadhamin wetu kuhusu akaunti zetu incase ya tatizo lolote.....au ndo akaunti ikiwa na pesa na ikawa dormant kwa muda mrefu ...wajanja wanacheza nayo
 
Its ur duty to inform ur next of kin possession of bank accounts,in case umepoteza maisha aki report tutamtambua ila sio kazi yetu kumfwata au kumtafuta,unazani sisi tutaishije na familia zetu kama tukirudisha kila kitu,sisi sio malaika hiyo kazi ya kurudisha anaiweza jiwe pekee.
 
Back
Top Bottom