Bila ya elimu ungakua wapi sasa?

tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
17,973
20,199
Habari za jioni hii wadau wa hili jukwaa letu pendwa..
Umewahi kujiuliza bila ya wewe kwenda shule kupata maarifa kuondoa ujinga kichwani Leo Hii ungekua na maisha ya aina gani?
Jaribu kuvuta picha ndio huna ujuzi wowote hujui chochote Yaani hujasoma maisha yako yangekua vipi...
Shule ni muhimu sana imetufungua akili zetu tuweze kua wa Maana zaidi na kuyafaidi zaidi mazingira yanayotuzunguka...

Kabla sijamaliza fikiria jinsi ilivyo sio rahisi kufanya kazi za mikono (kua layman sio jambo la mchezo)....
Tuwashukuru sana wazaz waliotukazania kusoma maana bila ya jitihada zao Leo hii hali sijui ingekuaje..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taji

Tajiri mkubwa ktk bara la Africa hakuwa na elimu hiyo uisemayo!!
 
Bila ya formal education pengine ningekua ufukweni mwa bahari ya hindi napara samaki.
 
Habari za jioni hii wadau wa hili jukwaa letu pendwa..
Umewahi kujiuliza bila ya wewe kwenda shule kupata maarifa kuondoa ujinga kichwani Leo Hii ungekua na maisha ya aina gani?
Jaribu kuvuta picha ndio huna ujuzi wowote hujui chochote Yaani hujasoma maisha yako yangekua vipi...
Shule ni muhimu sana imetufungua akili zetu tuweze kua wa Maana zaidi na kuyafaidi zaidi mazingira yanayotuzunguka...

Kabla sijamaliza fikiria jinsi ilivyo sio rahisi kufanya kazi za mikono (kua layman sio jambo la mchezo)....
Tuwashukuru sana wazaz waliotukazania kusoma maana bila ya jitihada zao Leo hii hali sijui ingekuaje..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu hawajasoma na wala hawajii kuandika hata jina wana maisha mazuri sana kuna akili ya maisha na akili ya darasani elimu ilikuwa zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom