Msemo wa "Rais ametoa" unaniacha na maswali

themagnificient

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
1,065
Reaction score
3,845
Kiukweli huu msemo huwa unaniacha na maswali mengi au labda mimi ndio nakosea nirekebishwe, hivi ni Rais katoa au serikali imetoa?, mfano wenzetu wamarekani wanatangazo linasema "msaada huu umetolewa kwa hisani ya watu wa marekani"

Hapa kwetu suala hili lipo vipi kwanini kiongozi wetu kila kitu kajimilikisha yeye tu?
 
Kiukweli huu msemo huwa unaniacha na maswali mengi au labda mimi ndio nakosea nirekebishwe, hivi ni raisi katoa au serikali imetoa?, mfano wenzetu wamarekani wanatangazo linasema "msaada huu umetolewa kwa hisani ya watu wa marekani"

Hapa kwetu swala hili lipo vipi kwanini kiongozi wetu kila kitu kajimilikisha yeye tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
WaTz ni mabingwa wa unafiki na kujipendekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba inasema rais ndio mmiliki wa ardhi

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
 
Nani anatia saini au anaidhinisha msaada fulani utolewe NI RAIS ; akikitaa kuidhinisha msaada utatoka jibu HAUTOLEWI jibu umelipata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tatizo anatoa Bil 1 yeye anaitoa wapi kwenye mshahara wake???? Ardhi haina shidaa mzeee.... Au pesa akisema zitoke zinatoka bilaa kujali ausiooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli huu msemo huwa unaniacha na maswali mengi au labda mimi ndio nakosea nirekebishwe, hivi ni Rais katoa au serikali imetoa?, mfano wenzetu wamarekani wanatangazo linasema "msaada huu umetolewa kwa hisani ya watu wa marekani"

Hapa kwetu suala hili lipo vipi kwanini kiongozi wetu kila kitu kajimilikisha yeye tu?
Watu wetu vyuma vimekaza hawana hela, watazitoa wapi!
 
Kiukweli huu msemo huwa unaniacha na maswali mengi au labda mimi ndio nakosea nirekebishwe, hivi ni Rais katoa au serikali imetoa?, mfano wenzetu wamarekani wanatangazo linasema "msaada huu umetolewa kwa hisani ya watu wa marekani"

Hapa kwetu suala hili lipo vipi kwanini kiongozi wetu kila kitu kajimilikisha yeye tu?

Au acha tufanye umetoa wewe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom