Nimeshawahi kuona misukule,wewe je?

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
Nakumbuka nilikua darasa la pili,huko shinyanga, siku moja nimetoka shule tukapata lunch then nikaenda kucheza kwao rafk yangu,nikakuta wanapata lunch pia,mama alishanikataza kula ile nyumba kwani inasemekana mama wa ile nyumba ni mchawi,basi nilikataa kula,baada ya hapo tukaenda kucheza,ilipofika muda wa saa 11:30jioni mama akaniita akaniagiza niende kwenye hiyo hiyo nyumba kwa mama x nikaomba kinu atwange kisamvu, nikakimbia fasta nilipofika sikugonga mlango wa jikoni kwa huyo mama kwani nilijua yumo humo,laaaaah haulaaaa nilichokiona ni mamtu kama manne hv anayapiga yanagombania chakula kawekea kwenye beseni,chakula chenyewe ni mapumba ya mahindi yale laini kaloweka na maji,watu wanatishaaaa nywele ndefu balaa,hawaongei wala nini,na wana macho makubwa sana,sitasahau hiyo picha hadi leo,nilitoka mbiooooo hadi nyumbani kumwambia mama,akaniambia nikae kimyaaaaa la sivyo nami nitachukuliwa.
Je kuna mtu ashagaona msukule pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sasa mbona umeropoka ujakaa kimya au tayari ndo umeshakua msukule

Hao kijani wakoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafanana hivii. Ila kidogo akili zao zinakua ndogo kuliko huyo mdudu
images%20(1).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nilikua darasa la pili,huko shinyanga, siku moja nimetoka shule tukapata lunch then nikaenda kucheza kwao rafk yangu,nikakuta wanapata lunch pia,mama alishanikataza kula ile nyumba kwani inasemekana mama wa ile nyumba ni mchawi,basi nilikataa kula,baada ya hapo tukaenda kucheza,ilipofika muda wa saa 11:30jioni mama akaniita akaniagiza niende kwenye hiyo hiyo nyumba kwa mama x nikaomba kinu atwange kisamvu, nikakimbia fasta nilipofika sikugonga mlango wa jikoni kwa huyo mama kwani nilijua yumo humo,laaaaah haulaaaa nilichokiona ni mamtu kama manne hv anayapiga yanagombania chakula kawekea kwenye beseni,chakula chenyewe ni mapumba ya mahindi yale laini kaloweka na maji,watu wanatishaaaa nywele ndefu balaa,hawaongei wala nini,na wana macho makubwa sana,sitasahau hiyo picha hadi leo,nilitoka mbiooooo hadi nyumbani kumwambia mama,akaniambia nikae kimyaaaaa la sivyo nami nitachukuliwa.
Je kuna mtu ashagaona msukule pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo
 
Hakuna, hakujawai kuwa na wala hakutakuja kuwa na kitu kinaitwa misukule...

Hayo ni mambo ya kufikirika tuu ..... Ni watu wenye upeo mdogo wanaweza kudhani kuna upuuzi kama huo...

BTW: Misukule(biashara) ilimsaidia Gwajima sana kuvuta wajinga kwenye kanisa lake
 
Nakumbuka nilikua darasa la pili,huko shinyanga, siku moja nimetoka shule tukapata lunch then nikaenda kucheza kwao rafk yangu,nikakuta wanapata lunch pia,mama alishanikataza kula ile nyumba kwani inasemekana mama wa ile nyumba ni mchawi,basi nilikataa kula,baada ya hapo tukaenda kucheza,ilipofika muda wa saa 11:30jioni mama akaniita akaniagiza niende kwenye hiyo hiyo nyumba kwa mama x nikaomba kinu atwange kisamvu, nikakimbia fasta nilipofika sikugonga mlango wa jikoni kwa huyo mama kwani nilijua yumo humo,laaaaah haulaaaa nilichokiona ni mamtu kama manne hv anayapiga yanagombania chakula kawekea kwenye beseni,chakula chenyewe ni mapumba ya mahindi yale laini kaloweka na maji,watu wanatishaaaa nywele ndefu balaa,hawaongei wala nini,na wana macho makubwa sana,sitasahau hiyo picha hadi leo,nilitoka mbiooooo hadi nyumbani kumwambia mama,akaniambia nikae kimyaaaaa la sivyo nami nitachukuliwa.
Je kuna mtu ashagaona msukule pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho....huu ni uongo wa mchana
 
Back
Top Bottom