Habari za asubuhi wakuu.
Hivi hatuwezi anzisha taasisi ya upelelezi ya JF ambayo itakuwa inafanya upelelezi wa matukio tata na kuyaweka wazi na kuyafikisha kwenye vyombo vya sheria? Nina uhakika tutawapata wakina Willy Gamba wazuri ambao watasaidia kupunguza matukio ya kishenzi. Nawakilisha