Kwanza nitoe pongezi kubwa sana kwa rubani wa ndege ya ATC No. TC103. Huyu rubani mzungu ameonesha yeye sio risk taker. Hii ndege imeshindwa kutake off mara mbili na akaamua kuirudisha kwenye...
Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo...
Bodi ya Utalii Tanzania(TTB), Ipo katika hatua za mwisho za Mazungumzo na Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania na Klabu ya Genk iliyopo nchini Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta kuwa Balozi wa...
Kumekuwa na kauli za viongozi na watunga sera za mara kwa mara zikiwataka vijana wa Kitanzania kujiajiri wenyewe badala ya kusubiri kuajiriwa,Kwanza nina wasiwasi na kiasi cha takwimu za vijana...
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au...
Kesi ya uhujumu uchumi namba 3 ya mwaka 2019 ya utoroshaji wa madini ya dhahabu bado inaendelea katika Mahakama ya hakimu mkazi Mwanza ambapo wafanyabiashara wa madini wamekiri makosa yao huku...
Wamiliki wa simu zinazotumia programu endeshi ya simu aina ya Series 40 wamekuwa hawawezi tena kutumia mtandao wa WhatsApp kwenye simu zao.
Hiyo imetokana na uamuzi wa kampuni ya Facebook...
Nimejiuliza swali hili lakini bado majibu hayajitoshelezi.
Jeshi la Polisi hawawezi kuwadhibiti wana CAF ambao Ni wavamizi wa mkutano wa ACT Wazalendo?
Udhaifu huu wa Jeshi la Polisi umeanza...
KATIBU WA ZAMANI WA SIMBA HASANOO KORTIN KWA WIZI WA PEMBE ZA NDOVU
Mtuhumiwa namba moja wa biashara haramu ya kusafirisha na kuuza nyara za serikali,Pembe za ndovu,Hong Kong ChinaKatibu wa...
Hii ni Familia inayopatikana nchini Uturuki ambayo hutembea kwa kutumia miguu na mikono kwa pamoja tofauti na Watu wengine, Wanasayansi wanadai Familia hii inasumbuliwa na tatizo linalowafanya...
1. Walimu wote Tanzania ili Kuepuka Kuanza Maisha mapya Kaburini kama Mwenzao wakiwa wanaingia Darasani wao sasa ndiyo Wawe wanawasalimia Wanafunzi Shikamoo.
2. Walimu wote Tanzania ili Kuepuka...
Dunian kuna sheria na kanuni nyingi, kila jamii, taasisi,serikali n.k ina sheria zake ya kipi ni halali kufanya na kipi sio halali kufanya.
Sheria na kanuni hizi zipo ili kuleta mahusiano mazuri...
Wasaalam wana JF.
Nashangazwa na watu wa ardhi wa Manispaa ya Kinondoni kama walisoma vizuri mambo ya ardhi. Kuna hii barabara iliyowekwa lami kutokea External kwenda Kisukuru inayopita jeshini...
Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemuhukumu Sunzu Mpangala mwenye umri wa miaka 27 kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka na kumsababishia ujauzito mwanafunzi wa shule ya sekondari ya...
Ni kweli dawa za kulevya hutengenezwa na kemikali ambazo kwa matumizi mengine ni salama kwa binadamu ila kwa Upande wa pili zinaweza kutumika kama dawa za kulevya hivyo SI salama.
Kuna dawa...
Msimu huu tulitarajia mvua kunyesha kwa wingi sana lakini hadi sasa mvua inanyesha kwa mafungu mafungu tu.
Kuna baadhi ya watu nimekuwa nikiwasikia wakisema mvua yetu iliyopaswa kunyesha bongo...
Mamlaka ya hali ya hewa wamesema mvua za masika zitakuwa kidogo mwaka huu hivyo wakulima wanashauriwa kulima mazao ya muda mfupi.
Source gazeti la Mtanzania
Nimefikiria kwa umakini sana huyu jamaa kwa sasa ni moja kati ya watu wenye ushawishi mkubwa sana hapa Tanzania kupitia umiliki wa Simba sports club..
Ushawishi wake hauna hata chembe ya shaka...
Karibuni tujadili kwa undani Na mapana mpaka kieleweke , ni kwa nini Tanzania kuna uganga wa jadi? kwa nini Tanzania isipige marufuku shughuli zozote za uganga wa jadi? Je kuna madhara gani...
Habari wana janvi
Naomba kwa anae jua hichi,mtoto anazaliwa akiwa na umri wa miezi tisa na kuendelea akisikia muziki anacheza na wakati huo hajawahi kuona tv au kuona mtu anacheza muziki.