Mvua iliyoanza kunyesha leo baadhi ya maeneo hapa nchini baada ya maombi ya watu wa dini fulani siku ya Ijumaa ni coincidence au Mungu kajibu maombi?

kamarah

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
884
1,735
Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?

Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu

Cc mshana jr faizafoxy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi thread za milengo ya kidini ziacheni...Mungu hana dini
 
Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?

Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu

Cc mshana jr faizafoxy

Sent using Jamii Forums mobile app
maeneo gani mbona nchi nzima ni moto mtupu, 38 celcius temp!
 
Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?

Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu

Cc mshana jr faizafoxy

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio Mkuu, Mungu amejibu maombi yao...asieamini uwepo wa Mungu atakupinga
 
How many times mvua imekuwa ikinyesha na mara ngapi wamekuwa wakifanya maombi hayo??..... waombe kipindi cha kiangazi na si kipindi cha masika.... masika hata ya siku mbili 2, 3 itanyesha tu.

Unadhani wale waarab wa middle east hawapendi mvua???.... au unadhani ndugu zetu wa misitu ya Congo wanamuomba Mungu sana????.....

Kwamba kalahari ianze ktandika kisawasawa kwa maombi😂😂😂
 
Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?

Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu

Cc mshana jr faizafoxy

Sent using Jamii Forums mobile app
Mvua huwa zinaanza kunyesha kawaida tu, mliambiwa kimbunga cha malawi, zimbambwe na msumbuji kiliomba mvua mvua hivyo zitachelewa au kunyesha kidogo. Jiografia ndogo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How many times mvua imekuwa ikinyesha na mara ngapi wamekuwa wakifanya maombi hayo??..... waombe kipindi cha kiangazi na si kipindi cha masika.... masika hata ya siku mbili 2, 3 itanyesha tu.

Unadhani wale waarab wa middle east hawapendi mvua???.... au unadhani ndugu zetu wa misitu ya Congo wanamuomba Mungu sana????.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna adabu za kuomba dua,miongoni mwa adabu za kuomba dua,ni kuomba dua kwa yale mambo ambayo yanawezekana ki ada yaani kwa kawaida. Mfano,leo hii huwezi kuomba dua uwe mtume wakati utume umesha koma,au uombe dua usife wakati kifo kimeshapitishwa kwa waja wote.

Pia,lazima tuombe dua kipindi cha haja na kuomba dua ili neema zisikuondokee. Kiangazi ni nyakati na ina hekima yake ya kuwepo kiangazi ili mambo mengine yaende,na Masika ni nyakati yenye kuhitajika ili mambo mengine yaende ndio maana masika yanapochelewa kulingana na hitajio lake,waja wana haha,na hakuna awezae kuleta mvua au kuzuia mvua isipokuwa Mola mlezi.

Nipo .....
 
Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?

Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu

Cc mshana jr faizafoxy

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika eneo letu ni kuwa mvua huanza kunyesha jua likiwa maeneo ya equator, ni juzi 21/3 jua lilikuwa katika mstari wa equator, hali hii husababisha joto kubwa linalosababisha low pressure katika eneo hili, hii husababisha cold and wet winds kuvuma kuelekea maeneo ya equator na ndio pepo hizi husababisha mvua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?

Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu

Cc mshana jr faizafoxy

Sent using Jamii Forums mobile app

MVUA HIYO SIO YA ILE DUA ILIYOOMBWA SIKU YA JUMAPILI HAPANA: MAOMBI YA MVUA HUWA YANAJIBIWA PALE AU HATA HUJAMALIZA DUA MVUA HUNYESHA AU MASAA 24: UKIONA MDA HUO KIMYA UJUE MUNGU HAJATAKA PILI VIPI SIKU HIYO UOMBE MVUA NA SIKU HIYO WATU WANYWE POMBE MPAKA KUPINDUKIA UWANJA WA TAIFA KWA SIKU MOJA HIYOHIYO MUNGU ATAKUWA NA FURAHA KWELI YA KUKUPA UMUOMBE HALAFU UMKUFURU
 
Back
Top Bottom