SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,803
- 1,863
Leo Vatican imetangaza rasmi kwamba Papa Francis atembelea nchi tatu za Afrika Mashariki.
Ziara hiyo itafanyika Septemba mwaka huu na nchi atakazotembelea ni Mozambique, Madagascar na Mauritius.
Hii ni mara ya pili Papa Francis kutembelea eneo la Afrika Mashariki. Majuzi tu alitembelea Uganda na Kenya. Kumbe Papa Francis analipenda hili eneo la Afrika Mashariki.
Hii maana yake mapapa wanalipenda hili eneo. Mara ya kwanza Papa Paul VI alitembelea Uganda na akazindua Namugongo sehemu ambayo maraisi wa nchi hizo kukimbizana kupata umaarufu wa kupatembelea pale.
Mara nyingine Papa John Paul akatembelea Kenya. Tanzania ikatembelewa na Papa John Paul mwaka 1990 tu, tena wakati huo kArdinali Rugambwa anajiandaa kuondoka madarakani na ingeonekana Kardinali wa kwanza mwafrika anodoka madarakani bila Papa kukanyaga nchini mwake.
Hivyo, Uganda na Kenya zimetembelewa na Papa mara mbili. Tanzania ndiyo hiyo mara moja tu.
TAARIFA na JADILI:
SOURCE: Vatican:
Pope Visist to East Africa