Naomba ushauri, Boom linaisha unconsciously

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,787
18,250
Heshima kwenu wakuu!
Mimi ni Yule kijana niliyewahi kuleta Uzi wa kupona Hepatitis B. Ukiusoma ule Uzi wangu utaelewa maisha yangu vizuri kwani niliandika ukweli mtupu.
Mungu amenisaidia nimefika chuo nasoma bachelor's degree in participatory project planning and management, na nimepata mkopo 100%. Kabla ya kuingia chuo nilikuwa na nia ya kujitahidi kubana hilo boom ili nikimaliza chuo niwe na angalau pesa kidogo za kurumangia kwani sote tunajua changamoto za ajira.

Alafu nilikuwa nawacheka sana waliomaliza chuo na walikuwa na mkopo kurudi kijijini bila hata mtaji wa kununulia Bodaboda! Niliona wana matumizi mabaya ya pesa na hii ndio sababu iliyonifanya kuishi ghetto ili niweze kubana budget vizuri.

Sasa nimeshangaa nimeshapokea boom Mara mbili kwa semester iliyopita lakini sikufanikiwa kuweka akiba hata kidogo! Pesa nazipokea Mimi MWENYEWE lakini sijui zinakoishia.

Matumizi yangu yako hivi:
Kodi ya ghetto plus umeme ni 35,000/= kwa mwezi

Sinywi pombe

Sina demu wala simuhitaji kwa sasa

Sijawahi kubeti

Chakula sehemu kubwa nakula ugali na mahindi sinunui kwani nililima MWENYEWE.

Sijanunua simu kubwa wala laptop wala sitanunua

Situmii nauli kwenda chuo

Sitoi michango aina yeyote.

Sasa wakuu naombeni ushauri namna ya kutimiza makusudi yangu ya kubana budget kwani nahisi nimeanza kushindwa. Na najua nikishindwa hili itanicost na nitajuta sana baada ya kumaliza chuo. Naamini experts wa maisha wako humu ndio maana nikapachagua kuomba ushauri humu. Natanguliza shukrani.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa tengeneza kitu kinaitwa petty cash account. Kisha rekodi matumizi yako kwa kila kitu. Baada ya mwezi mmoja utajua what is your financial predator.
Kila lakheri
Mkuu nimekuwekea haya madini hapa, soma, hautajutia
 
Attachments

  • Tutuba - 2017 - vile uwazavyo ndivyo ulivyo.pdf
    2.1 MB · Views: 253
Kuwa mkweli iyo pesa unapeleka wapi maana kwa hizo hesabu zako hata robo ya boom huitumii funguka usaidiwe 🤕
 
Naskia kuna watu wamenunua kiwanja na kujenga na kusomesha wadogo zao kwa pesa ya boom. Pia wamepanga hapa dar na magetoni kwao wana kilakitu.
Mkuu unafeli wapi??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
"Matumizi yangu yako hivi:

Kodi ya ghetto plus umeme ni 35,000/= kwa mweziSinywi pombeSina demu wala simuhitaji kwa sasaSijawahi kubetiChakula sehemu kubwa nakula ugali na mahindi sinunui kwani nililima MWENYEWE.Sijanunua simu kubwa wala laptop wala sitanunuaSitumii nauli kwenda chuoSitoi michango aina yeyote"
sijui kwanini nimejikuta nacheka wakati nasoma haya matumizi yako, all in all inaonyesha ni jinsi gani umedhamiria kutimiza malengo yako mpaka umekuja humu kuomba ushauri na kwa hilo nikupe pongezi kwa hilo mdau,

lkn sidhani kama umefunguka vya kutosha tuupate undani wamatumizi yako ilikuweza kukushauri vizuri am sure kunabaadhi ya matumizi hujaweka wazi kama sualazima la ada, misaada ( pesa inasaidia home au ndugu) starehe na anasa (unamiliki vitu vya gharama visivyo na ulazima) etc, kama hutojali naomba ufunguke zaidi ilikuwarahisishia wadau namna ya kukusaidia..

Hatahivyo kwa Ushauri mwepesi: tumia kinachobaki baada ya kutunza na ukifanya budget isimamie kama ndio kitu pekee ulichobakiza kwenye maisha.
 
Binafsi sikuwa naitegemea sana boom kwa kiasi kikubwa. Ila boom la mwaka wa kwanza nililitumia kununua vitu vya kuniingizia pesa. Ambavyo ni laptop, wino, karatasi na printer yenye kuprint, kuscan na kutoa copy.
Kulikoendelea ilikuwa ni mwendo wa kuokota vijisent tu. Daily 4000-8000 nilikuwa sikosi. Dissertation,madesa nk kwa wanafunzi wengi walikuwa wananitegemea maana nilikuwa na bei za chini kuliko bei za stationery, so nashukuru mungu nilifanya mengi sana mpk namaliza chuo sikukosa nauli ya kurudi home.
Jitahidi kusoma mazingira yako, then changamoto uzigeuze kuwa fursa mkuu.
 
Kipindi kile boom 7500 kwa siku nilikua nahakikisha nakuaga na 400,000 au 500,000 tukiwa tunaenda likizo ile ya mwezi mmoja baada ya semister ya kwanza..technique niliokua naitumia nilikua nakaa home mpaka ikikaribia wiki 4 kabla ya U.E ndo naenda hostel enzi zile msosi ilikua 800 wali njegere,nyama,etc maini 1200 hivyo nilikua nafanya mchakato huo na pia saa zingine home wakiwa na dharura nilikua nazisimamia na saa zingine nilikua naenda na ndinga natia wese la 7000 au 9000 kwenye 4 Runner, jicheki na matumizi yako itakua kuna sehemu tu unakosea
 
Unachoshangaa nini, ikiwa mshahara wenyewe mtu anapata 800K kwa mwezi still inaisha ndio itakuwa boom | Boom iyeleweke ni pesa ya matumizi sio plenty money unapewa ikaeikae the way unavyooshi lazima itatumika mzee na uwezi mention matumizi yote huitaji kiwa mnywaji sijui mademu hili kuisha, nachoshukuru kwamba ulikuwa unawaona wenzio wajinga hukujua hali halisi sasa umejua hali halisi kwa ipoje, watu wanalionaje sijui boom kwamba mihela tu ipoipo kumbe sivyo.

Kuzibana izi pesa ni shughuli kama shughuli nyengine wakuu, inahitaji kuwa na tekiniki za maaana.

Mie semister iliyokwisha kwenye boom jumla nimepokea 1M ila katika iyo 1M nimesevu 800K nimefungulia biashara iyo 200K kuishi nayo mzee mungu ndio anajua msoto nilioipata mpaka sasa siamini siounajua watoto ambao nyumbani hali pia ngumu mzee sio mchezo kilichosaidia kwamba pesa nimefanyia kitu then nikabaki sina kitu nakumbuka semister inaanza tu nabaki na 40,000/= then mbele nina miezi miwili ebwana nilifaiti for survive ila sijakoma had I now nabishara yangu.

Unahitaji ujipinde mzee ubane izi pesa not sweat at all boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nmekuelewa to the maximum level... Thanks but umesema inahitaj techniques.. wewe binafsi ulikuwa unatumia njia gani kusave

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza shida ipo hapa
hauna demu?...
Hutoi michango so na sadaka pia hutoi..
hufanyi starehe so huna connection...
Hujichanganyi....so huna ma deal
Mzee Baba kifupi unaish local sana...utatoboa kwa tabu

From my experience watu wa dizain yako huwa hawana uwezo mpana wa kufkr wanachokiwaza wao ndio hcho hcho...Sasa shid kubwa ya Maisha kuna wakati yanataka ujichanganye utakwama sana dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongelea kujichanganya na watu ilibkupata madeal... Binafsi sikupanga kuwekeza pesa za boom Bali kusave tu. Na nimesema nimejaribu Ku save lakini wapi...shida yangu Hapa Naomba techniques za Ku save tu na sio kuwekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ko kulingana na hesabu zako.
BOOM LINATOKA BAADA YA SIKU 60.
500000-35000(3)=395000
395000-(95000)pesa ya mboga=300000.

Sasa haujui hii lak3 inaishaje mkuu.?? Maana hapo kwa umakini unaoonesha unao atleast ilibidi wakati Unapta bum la 2 uwe na akiba angalau laki hivi.

Labda utakua unachuma upeleke mkuu
 
"Matumizi yangu yako hivi:

Kodi ya ghetto plus umeme ni 35,000/= kwa mweziSinywi pombeSina demu wala simuhitaji kwa sasaSijawahi kubetiChakula sehemu kubwa nakula ugali na mahindi sinunui kwani nililima MWENYEWE.Sijanunua simu kubwa wala laptop wala sitanunuaSitumii nauli kwenda chuoSitoi michango aina yeyote"
sijui kwanini nimejikuta nacheka wakati nasoma haya matumizi yako, all in all inaonyesha ni jinsi gani umedhamiria kutimiza malengo yako mpaka umekuja humu kuomba ushauri na kwa hilo nikupe pongezi kwa hilo mdau,

lkn sidhani kama umefunguka vya kutosha tuupate undani wamatumizi yako ilikuweza kukushauri vizuri am sure kunabaadhi ya matumizi hujaweka wazi kama sualazima la ada, misaada ( pesa inasaidia home au ndugu) starehe na anasa (unamiliki vitu vya gharama visivyo na ulazima) etc, kama hutojali naomba ufunguke zaidi ilikuwarahisishia wadau namna ya kukusaidia..

Hatahivyo kwa Ushauri mwepesi: tumia kinachobaki baada ya kutunza na ukifanya budget isimamie kama ndio kitu pekee ulichobakiza kwenye maisha.
Ada nalipiwa na bodi ya Mikopo, nimemtumia mama maximum elfu hamsini tu na nimefanya hivyo mara moja tu, jambo ambalo hall wezi kuwa sababu ya kufulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ko kulingana na hesabu zako.
BOOM LINATOKA BAADA YA SIKU 60.
500000-35000(3)=395000
395000-(95000)pesa ya mboga=300000.

Sasa haujui hii lak3 inaishaje mkuu.?? Maana hapo kwa umakini unaoonesha unao atleast ilibidi wakati Unapta bum la 2 uwe na akiba angalau laki hivi.

Labda utakua unachuma upeleke mkuu
Mmh! Ngumu kumeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza shida ipo hapa
hauna demu?...
Hutoi michango so na sadaka pia hutoi..
hufanyi starehe so huna connection...
Hujichanganyi....so huna ma deal
Mzee Baba kifupi unaish local sana...utatoboa kwa tabu

From my experience watu wa dizain yako huwa hawana uwezo mpana wa kufkr wanachokiwaza wao ndio hcho hcho...Sasa shid kubwa ya Maisha kuna wakati yanataka ujichanganye utakwama sana dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya mtoa mada na wewe nani anauwezo mdogo | starehe na kujichanganya vina uhusiano gani sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nmekuelewa to the maximum level... Thanks but umesema inahitaj techniques.. wewe binafsi ulikuwa unatumia njia gani kusave

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mie ni kubana matumizi kwakawaida kwasiku unaweza tumia hata 5000/= kama huna plan, ila kama Mimi nadhamilia kubana nakula 1500/= kwasiku inaama milo miwili kwakawaida sijui vyuo vyengine ila kwa nachosoma mimi wanafunzi 70% wanakula milo miwili so mchana 1000/= usiku 500/= | njia nyengine uhakikishe unafanya njia mbadala ya kuingiza kipato kama aliyesema jamaa hapo juu ndio nzuri especially kwa first year au hata kuwa wakala, kwamie nilikuwa nafanya udalali tu.

So kubana matumizi na kipato mbadala njia hizi ziliniwezesha katika 1M kutumia 200K tu, ila kikubwa zaidi kilochonipa motisha nikukosa meri ya kuludia nyuma maana nilikuwa nishachoma meri, nilivyopata pesa tu nikaitupia sehemu na kubaki na pesa kodogo so ilikuwa nipende au nisipende lazima nibane hapo.

Mwisho
Hapo nimekunoti eti u-save pesa hadi unamaliza hicho kitu sahau kabisa u-save pesa kwamiaka mitatu ilo aliwezekani mzee pesa utatumia tu maana muda wrote pesa zinamatumizi mzee pia ni maumivu yasioolezeka hayo mfano unajinyima kula vizuri hata sayona embe hugusi then kwenye account una pesa kibao kitu ambacho hata Mimi na exposure yangu ya pesa siwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom