Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,616
Weekend iliyopita nilikuwa mji wa madini - Kahama kwa issue binafsi. Moja ya redio zinazosikika huko ni redio.moja ya dini iitwayo DIVINE FM. Sasa redio hiyo ina mwakilishi wake wa masuala ya michezo anayeripoti kutokea Burundi anaitwa BUKURU ELIAS DANIEL. ..... Akianza kuripoti mnh....hapana bwana....., sio kabisà.
Mara ya kwanza nilijikuta nacheka kwanza kisha nikakereka maana ni utangazaji wa kishamba sijawahiona jamani!!! Utadhani anaimba ngonjera za kikwao! Halafu kama redio haina msimamizi wa matangazo maana kila siku ni utangazaji wa kuboa hivyo hivyo na hakuma wa kumkosoa wala kumrekebisha.
Kiukweli utangazaji wake unaboa kabisa. Anyway sijui, labda ndio aina ya utangazaji ambao wasikilizaji wake wa kanda hizo wanaupenda. Ila sikumfagilia kabisa japo unaona kabisa kama mwenyewe anaenjoy style hiyo. Mmmmm, duniani kuna mambo!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app