Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 680
- 1,338
Toka Serikali ya awamu ya tano ya Mh Rais Magufuli imeingia madarakani November mwaka 2015 tunaona mambo mengi yakifanyika hasa miradi mikubwa ambayo inazalisha ajira lukuki kwa watanzania lakin pia fulsa zingine kama kutoa huduma mbalimbali kwenye miradi hii kama SGR..stiegles rufiji na kwenye secta ya kilimo. Raia yangu kwa watanzania hasa vijana changamkieni fulsa hizi na kuacha kulalamika muda wote.Hii awamu ya tano ndo kuna fulsa nyingi kimsingi tu uwe mwaminifu maana zile zama za janja janja hamna tena. Viva Rais Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app