jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,580
- 25,882
Ndugu watanzania,
Kutokana na video inayomuonyesha mh rais Maghufuli akiwa amekaa kwenye sofa ikulu akitizama mechi ya Taifa Stars dhidi ya The Cranes!
Long story short, kweli mh rais anaonekana ni mchapa kazi muda wote. Hata alipokaa hapo na hizo raba zake, unaweza kudhani ni kama siku hiyo ameibia tu kutizama tv. Lakini hizo raba inaonekana alikuwa huko nje pengine akifanya shughuli mbali mbali na siyo kuchillax. Maaana angekuwa mtu wa hivyo, tena siku kama ya hiyo mechi, basi angeonekana ki tofauti. Pengine angekuwa na sleepers(malapa flani special unayovaaa ukiwa ndani umerelax). Pia nimeona kuna rag hapo katikati. Kuna uwezekano sehemu nyingine kuna carpets(sijawahi kufika ikulu). Kwa kuwa pia inaonekana ilikuwa mida ya “dinner”, kuna mdada alikuwa “anapeleka pwani”, kama sikosei ni kuku. Lakini pia kama sikosei, ni Mama Jannet alikuwa amekaa pia akipata chakula. Hivyo basi video hii imeonyesha hulka ya mh ya “hapa kazi tu”, hata hiyo mechi ni basi tu kwasababu ya uzalendo ikabidi aache kazi na kutizama. Hata muda wa kukaa mezani kula na familia hana. Kwakweli tumepata rais mchapa kazi haswa!