Kiwanja kipo pembezoni mwa Grid ya Taifa

Kiwanja kipo pembezoni mwa Grid ya Taifa

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,650
kuna kiwanja nimeonyeshwa Grid ya taifa ipo pembezoni mwa kiwanja Kama 3mt

je kuna madhara yeyote na vipi nikienda kuomba mkopo
benk watakiidhinisha ?

mawazo yenu wadau kabla sijanunua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
grid huwa ni mita 30 kwa mjini! we nunua halafu ndo utajua mlenda unatelezeshaje BONGE la TONGE la ugali
 
Usijaribu hata kidogo hiyo ni hatari kwako mawimbi sumaku yatakudhuru awali ya yote nguzo ikianguka ni shida hujatuambia bei yake lazima itakuwa chee sana.Hilo ni eneo la TANESCO unauziwa kiwanja na prof Ndumilakuwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom