Hili la NMB kwa wastaafu wadau mnalionaje

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Baadhi ya mameneja katika matawi mbalimbali ya NMB nchini wameanza vikao na wastafu tarajiwa

Mameneja hao wanasema makao makuu wamewaagiza kukubaliana na wanaoenda kustafu kuwa

"Wastafu tarajali wanaombwa kuacha kuchukua hela zao zote za mafao badala yake waingie mkataba wabakize shilingi million 60 kwenye account zao ambapo kila mwezi wastafu watakuwa wanapewa shilingi laki 3 kwa kila mwezi kama riba kutoka NMB

Wanaendelea kusema mstaafu kujitoa au kuvunja mkataba ni muda wowote

Je mnakubaliana na hili la NMB kwa wastafu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ilianza na meko kwa kuondoa pesa benki sasa benki zinakaukiwa. Watumishi wa benki inabidi wapewe redundancy ili benki ziweze ku sustain maana kuna ombwe la amana kwenye mabenki
IMG_20190315_133814.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza wastaafu wa nachama wa NSSF, na iliyokuwa PPF hawana ubavu wa kupata hizo 60,000,000/=. Akijitahidi sana ni 50,000,000/=. Kwa wale waliokuwa PSPF na LAPF wao hata mhudumu tu anapata zaidi ya 60,000,000/=, halafu wote waliandamana kupongeza kurejesha kikokotoo kumbe si kwa ajili ya wote!!! DOUBLE STANDARD!!!!!! Kuna watumishi wa umma huko NSSF na PPF bado maumivu yako pale pale!!!!
 
kama hauna cha maana cha kufanyia hizo pesa hiyo ni good idea, inakupa sustainable source of income
 
Kwanza wastaafu wa nachama wa NSSF, na iliyokuwa PPF hawana ubavu wa kupata hizo 60,000,000/=. Akijitahidi sana ni 50,000,000/=. Kwa wale waliokuwa PSPF na LAPF wao hata mhudumu tu anapata zaidi ya 60,000,000/=, halafu wote waliandamana kupongeza kurejesha kikokotoo kumbe si kwa ajili ya wote!!! DOUBLE STANDARD!!!!!! DKuna watumishi wa umma huko NSSF na PPF bado maumivu yako pale pale!!!!
Tulilizungumza hilo. Kikokotoo kilichokataliwaa kilichukuliwa toka PPF. Hivyo waliokuwa ndani ya PPF na NSSF hawana nafuu yeyote. Hivyo basi hawatafaidika na huduma hii ya NMB.
 
300k kwenye eicher ni two days na chenchi kibao zinabaki
 
Hivi 60,000,000/= ukiziwekeza kwenye biashara kwa mwezi utapata 300,000/= tu! Waache wizi wa mchana!!!!! Wanazitolea udenda pesa za wazee hata kabla hawajastaafu!!!! Ni aibu ya mwaka!!!!
Dah...laki3 kwa mwaka ni kama 3.6m kwa mwaka....Ni Kama 4% kwa mwaka...wakati crdb Ni karibu 1% kwa mwezi.(3% kwa miezi3)..anajilia laki6 yake safi kwa mwezi...

Sent using Beretta ARX 160
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom