Zamani ilikuwa haipiti mwezi lazima raia na jeshi la polisi wakimbizane.hata katika mikoa Kama mwanza, Arusha na mbeya ilikuwa Ni kawaida Sana kushuhudia machinga au wanafunzi wakiandamana na...
Reaction ya wananchi wa kawaida mitandaoni, kwenye vijiwe vya kahawa na story za kawaida mitandaoni.... Koleza na reaction ya viongozi mbalimbali mitandaoni baada ya makonda kumuita Pierre mtu wa...
Viongozi wa Kanisa Katoliki wilayani Rombo wameanza kufunga kwa siku tisa kumuomba Mungu aiepushe jamii wilayani humo na tabia ya ulevi uliopindukia hususan kwa vijana.
Kwa mujibu wa viongozi...
Habari ndugu
Amani ya bwana Mungu iwe pamoja nawe.
Ninakuja mbele yako wewe unayesoma uzi huu nikikualika katika mchango wa kukamilisha ujenzi wa hosiptali ambayo inasimamiwa na kanisa la...
Wengi wa Wananchi wamejiunga na Bima ya Afya na wengi wa Wanachama wanaishi maeneo ya vijijini.
Matibabu y kwa kutumia Bima ya Afya yamepangwa kwa ngazi ya Zahanati, vituo vya Afya, Hospitali...
Huyu ni professor wa chuo kikuu nchini Marekani, Morehouse College, anaitwa Nathan Alexander. Ana miaka 34.
Kama watanzania tunajifunza nini?
Elimu yetu inatufunza nini? tuna specialization? au...
Watu wasiojulikana ambao idadi yao haijulikani wamevamia ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa kodi wa Kahama, Shinyanga na kuondoka na kompyuta mpakato moja na baadhi ya nyaraka za...
Kibongobongo apple moja sasa linasimamia Tsh 800-1,000! Yakilala au kubondeka utayapata kwa Tsh 600-700; na ukienda yale maeneo ya maisha mazuri (Mbagala, Buguruni, Tandale, Gongo la mboto, Bunju...
Kundi LA Friends of Batuli linaloongozwa na Mwl.Batili Kisaya kwa Mara nyingine limetikisa jiji la Arusha baada ya kugawa kadi za bima ya Afya kwa watoto pamoja na kutoa msaada wa vyakula ,sabuni...
Waziri wa Mambo ya ndani, Kangi Lugola amemsimamisha kazi Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Mbogwe, Geita.
Aidha, Waziri Lugola amemsimamisha kazi Mkaguzi wa Jeshi Wilayani humo, kwa...
Mwananchi, Usikubali kutapeliwa.Usitume pesa kwa mtu usiyemfahamu.Hakiki ujumbe na simu inayokutaka utume pesa.JESHI LA POLISI LINAZINGATIA USALAMA WA PESA ZAKO
Nimepokea ujumbe huu kwenye simu...
Habari wadau wa habari mchanganyiko.
Hivi lile sakata la kuvujishwa mitihani ya darasa la 7 mwaka 2018 ktk wilaya nzima ya chemba Dodoma na shule ya Alliance Dar es salaam, kesi inaendeleaje...
Hi, Salamu sana, 2018 is just few hours zimebakia..!!
Kama kuna kitu kimoja kimeniudhi mno mnooo 2017 ni michango ya kanisa.. Yaani imezidi sana sanaaa ni balaa, i feel bad, hasa RC yaani ni...
Ni adhabu gani ulipewa utotoni unaikumbuka mpaka leo?
Binafsi kuna siku nilichelewa kurudi home wakati nipo kidato cha pili nilirudi saa mbili usiku, kufika nyumbani nimekuta wameshakula...
Haya maradhi nimeyazibitisha baada ya ziara hii kuu ya kwenda kwenye maeneo ya Korosho.
Nimebahatika kuona ITV baadhi ya hotuba za huko zikitolewa, lakini sehemu kubwa ya yanayo hutubiwa ni...
Nimekuwa nikiliwaza jambo kwa kitambo sasa, naomba kuliwasilisha hapa jamvini kama wazo naamini wadau wapo watalifanyia uchambuzi na kuona kama litafaa kwa faida ya Taifa letu,
Uwepo wa Bandari...
Napenda kutoa pole kwa ndugu,jamaa na marafiki wa ruge mutahaba kwa kipindi kigumu wanacho kipitia....
Nimeshangaa kuona familia ya ruge imeanza kuomba misaada kwaajili ya matibabu ya ruge...
DR.Nshala amewahi kutetea baadhi ya kesi za Kikatiba nchini ,na moja ya kesi aliyomwakilisha mteja wake ni hii hapa chini;
MAHAKAMA YAKATAA KUMWONDOLEA DPP NGUVU YA KUZUIA DHAMANA KESI ZA UHUJUMU...