GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,902
- 10,503
Huyu ni professor wa chuo kikuu nchini Marekani, Morehouse College, anaitwa Nathan Alexander. Ana miaka 34.
Kama watanzania tunajifunza nini?
Elimu yetu inatufunza nini? tuna specialization? au tunajazana ujinga tu huko mashuleni?
Maprofesa wetu wanajifunza nini?
Maana huko bongo ili mtu awe professor ni mpaka awe na upara mkubwa au avae mamiwani makubwa au awe kikongwe, eti ndio msomi!! Wengine nasikia mpaka watumbue mimacho ndio waonekane wamebukua! Aiseee....
Haya sasa.. huyu ndio professor!!
Wapi maprofeseri wetu watumbua macho?
Sent using Jamii Forums mobile app